Waziri Nnauye akutana na Viongozi wa TAJATI
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akipokea zawadi ya kikombe kutoka kwa mtunza fedha wa Chama cha Waandishi wa Habari za Utalii na Uwekezaji Tanzania (TAJATI) Bi....
View ArticleVigogo NHC na EWURA Wakana Kulipwa Mhashara wa Milioni 36 kwa Mwezi
Mabosi wa mashirika mawili ya Serikali nchini, wanaodaiwa kulipwa mshahara wa Sh milioni 36, wamekanusha madai hayo, huku wakielezea kushangazwa na taarifa hizo wakati hata nusu ya fedha hizo,...
View ArticleKiwanda cha Mount Meru Millers Chafungwa na Kutozwa Faini ya Milioni 12 Kwa...
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limekifunga kiwanda cha Mount Meru Millers Ltd kilichopo wilayani Bunda, mkoani Mara na kukipiga faini ya Sh12 milioni kwa uharibifu wa...
View ArticleRais Magufuli ametoa shilingi Milioni 10 nyumbani kwao Geita leo
President John Pombe Magufuli wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania yupo nyumbani kwao chato kwa mapumziko ya siku tano ambapo toka ateuliwe kuwa Rais wa Tanzania, hii ni mara yake ya kwanza kwenda...
View ArticleBodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) Yasema Imejipanga kukusanya Bilioni 8...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema imeanza kutekeleza mikakati mipya ya ukusanyaji wa mikopo ya elimu ya juu kutoka kwa wadaiwa ambayo itaongeza wastani wa ukusanyaji wa Tshs...
View ArticleKamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii yatembelea Taasisi ya...
KAMATI ya Bunge ya Kudumu Huduma za Maendeleo ya Jamii mapema leo Aprili 5.2016 imetembelea Taasisi ya Saratani Ocean Road na kujionea uendeshaji unaoendelea katika taasisi hiyo ikiwemo pia kuangalia...
View ArticleUnakumbuka ujenzi wa gorofa la mamilioni chini ya kiwango Dsm? Mwanasiasa...
Ujenzi wa majengo ya ghorofa yaliyo chini ya kiwango yaliripotiwa katika jiji la Dar es salaam miaka ya nyuma iliyopita ambapo kariakoo kulikuwa na ghorofa 64, taarifa nyingine ilikuwa ni ya jengo la...
View Articlemagazeti ya leo tarehe 6 april 2016
[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleHatimaye Utumishi Wafafanua Kuhusu Mshahara wa Rais Magufuli na Kikwete
Siku chache baada ya Rais Dk. John Magufuli, kutaja mshahara wake kuwa ni Sh. milioni 9.5 kwa mwezi, Wizara ya Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, imefafanua mshahara...
View ArticleMhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ateketea kwa Moto Akiwa Ndani...
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Idara ya Sayansi na Uhandisi wa Kompyuta (CoICT), Dk Richard Mgaya amefariki baada ya kuteketea ndani ya gari lake jijini Dar es Salaam juzi. Gari la...
View ArticleMkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla aagiza hekta 5,000 zirejeshwe kwa wananchi
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla ameamuru hekta 5,000 za ardhi zilizokuwa za Chama cha Ushirika cha Luhanga Amcos zirejeshwe kwa wananchi wa kijiji cha Luhanga wilayani Mbarali kutokana na...
View ArticleNSSF Yapigwa Marufuku Ujenzi wa Miradi Mipya
Bunge limesimamisha utekelezaji wa miradi yote mipya ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) mpaka hapo Kamati na Wizara itakapopitia taarifa ya Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG),...
View ArticleMSIBA: Muziki wa dance Tanzania umepata msiba, R.I.P Ndanda Kosovo
Mkali wa muziki wa dansi aliyefanya vizuri akiwa na bendi ya FM Academia na Stono Musica, Ndanda Kosovo ambaye alikuwa akisumbuliwa na vidonda vya tumbo ambapo alilazwa katika hospitali ya...
View ArticleMagazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 13 2016 kwenye,Udaku, Hardnews...
[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleBreaking: Mahakama Dar imewaachia huru aliyekuwa Mkurugenzi wa Tanesco...
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), William Mhando , mke wake Eva Mhando, walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam wakikabiliwa na...
View ArticleIshu ya kubwia unga, JK amuonya Ray C
Rais Mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete ‘JK’. DAR ES SALAAM: Wakati msuguano mkubwa ukiwa umeibuka, Mbongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ akisukuma madongo kwa Magazeti Pendwa ya Global Publishers...
View ArticlePICHA 5: Imenifikia taarifa ya Gari kuzama Baharini April 20 2016
February 2016 iliripotiwa ripoti ya kuzima injini ya Pantoni na kuleta tafrani kwa abiria, sasa ni takribani miezi miwili tangu tukio hilo litokee. Daraja la Nyerere ‘Kigamboni’ lililozinduliwa jana...
View ArticlePICHAZ 8: Mafuriko kijiji cha Changalawe Mikumi yamemfanya Prof Jay kwenda...
Mbunge wa Jimbo la Mikumi Joseph Haule a.ka Profesa Jay April 25 2016 siku moja baada ya kupeleka msaada wa mabomba Ruaha amelazimika kwenda kuwatembelea wanakijiji wa Changalawe kata ya...
View ArticleMdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Juma Assad...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Juma Assad amekabidhi ripoti ya ukaguzi ya mwaka wa fedha unaoishia Juni 30, 2015 bungeni leo ili iweze kujadiliwa na wabunge katika Bunge...
View ArticleKilichomfanya Siwema wa Nay wa Mitego Afungwe Miaka Miwili Gerezani ni...
Wiki iliyopita zilianza kusikika taarifa mbalimbali kuhusu kuhukumiwa kwa mpenzi wa zamani na mama mtoto wa msanii Nay wa Mitego aliyehukumiwa kwenda jela miaka miwili jijini Mwanza. Pamoja na...
View Article