Quantcast
Channel: AutomobileHeat » css
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1303

PICHAZ 8: Mafuriko kijiji cha Changalawe Mikumi yamemfanya Prof Jay kwenda kuwatembelea wahanga

$
0
0

Mbunge wa Jimbo la  Mikumi   Joseph Haule  a.ka  Profesa Jay  April 25 2016 siku moja baada ya kupeleka msaada wa mabomba  Ruaha  amelazimika kwenda kuwatembelea wanakijiji wa Changalawe kata ya Masanze ambao wamepata mafuriko na baadhi ya mali zao kwenda na maji. Prof Jay  ameenda kuwatembelea wakazi hao ambao mazao yao yameenda na maji mashambani pamoja na nyumba zao kubomolewa na mafuriko, mbunge huyo wa Mikumi hakuishia kutoa pole tu lakini amehaidi kuwapelekea msaada ili kuwapunguzia matatizo yaliojitokeza katika mafuriko hayo.

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1303

Trending Articles