Quantcast
Channel: AutomobileHeat » css

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSIBA: Muziki wa dance Tanzania umepata msiba, R.I.P Ndanda Kosovo

Mkali wa muziki wa dansi aliyefanya vizuri akiwa na bendi ya FM Academia na Stono Musica, Ndanda Kosovo ambaye alikuwa akisumbuliwa na vidonda vya tumbo ambapo alilazwa katika hospitali ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 13 2016 kwenye,Udaku, Hardnews...

[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Breaking: Mahakama Dar imewaachia huru aliyekuwa Mkurugenzi wa Tanesco...

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco),  William Mhando , mke wake  Eva Mhando,  walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam wakikabiliwa na...

View Article

Ishu ya kubwia unga, JK amuonya Ray C

 Rais Mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete ‘JK’. DAR ES SALAAM: Wakati msuguano mkubwa ukiwa umeibuka, Mbongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ akisukuma madongo kwa Magazeti Pendwa ya Global Publishers...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA 5: Imenifikia taarifa ya Gari kuzama Baharini April 20 2016

February 2016 iliripotiwa ripoti ya kuzima injini ya Pantoni na kuleta tafrani kwa abiria, sasa ni takribani miezi miwili tangu tukio hilo litokee. Daraja la Nyerere ‘Kigamboni’ lililozinduliwa jana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHAZ 8: Mafuriko kijiji cha Changalawe Mikumi yamemfanya Prof Jay kwenda...

Mbunge wa Jimbo la  Mikumi   Joseph Haule  a.ka  Profesa Jay  April 25 2016 siku moja baada ya kupeleka msaada wa mabomba  Ruaha  amelazimika kwenda kuwatembelea wanakijiji wa Changalawe kata ya...

View Article

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Juma Assad...

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Juma Assad amekabidhi ripoti ya ukaguzi ya mwaka wa fedha unaoishia Juni 30, 2015 bungeni leo ili iweze kujadiliwa na wabunge katika Bunge...

View Article

Kilichomfanya Siwema wa Nay wa Mitego Afungwe Miaka Miwili Gerezani ni...

Wiki iliyopita zilianza kusikika taarifa mbalimbali kuhusu kuhukumiwa kwa mpenzi wa zamani na mama mtoto wa msanii Nay wa Mitego aliyehukumiwa kwenda jela miaka miwili  jijini  Mwanza.   Pamoja na...

View Article


Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla aagiza hekta 5,000 zirejeshwe kwa wananchi

Mkuu  wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla ameamuru hekta 5,000 za ardhi zilizokuwa za Chama cha Ushirika cha Luhanga Amcos zirejeshwe kwa wananchi wa kijiji cha Luhanga wilayani Mbarali kutokana na...

View Article


NSSF Yapigwa Marufuku Ujenzi wa Miradi Mipya

Bunge limesimamisha utekelezaji wa miradi yote mipya ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) mpaka hapo Kamati na Wizara itakapopitia taarifa ya Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG),...

View Article