Quantcast
Channel: AutomobileHeat » css
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1303

MSIBA: Muziki wa dance Tanzania umepata msiba, R.I.P Ndanda Kosovo

$
0
0

Mkali wa muziki wa dansi aliyefanya vizuri akiwa na bendi ya FM Academia na Stono Musica, Ndanda Kosovo ambaye alikuwa akisumbuliwa na vidonda vya tumbo ambapo alilazwa katika hospitali ya mwananyamala na baada ya hali yake kuwa mbaya alihamishiwa katika hospitali ya Muhimbili. April 09 2016 zimeripotiwa habari za kifo chake na millardayo.com imepata nafasi ya kuzungumza na Baba mdogo wa mwanamuziki huyo, Kardinal Gental ambaye amethibisha kifo chake> > > ’ Ni kweli kabisa ndanda amefariki nilikuwa naye jana muhimbili tangu asubuhi mpaka usiku tumekesha naye pale mpaka leo saa moja  asubuhi mke wake alipokuja  mimi nikaondoka nikaacha anamlisha lakini baadaye wakanitumia taarifa taarifa kwamba ndanda amefariki’. > > > > ’ Kitu kikubwa kilichomuondoa Ndanda ni vidonda vya tumbo kwani alikuwa akitapika mpaka kuna chembechembe za damu zilikuwa zinatoka ‘

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1303

Trending Articles