Quantcast
Channel: AutomobileHeat » css
Browsing all 1303 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA 17: Rais Magufuli katua Airport Mwanza akatoa laki moja watu wanywe...

March 29 2016  Rais  Magufuli   ametua kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza na kukutana na viongozi wa Mwanza pamoja wananchi wake waliokuwa  Airport ya Mwanza , kingine alichokifanya ni kwenda kwenye...

View Article


Wananchi Wa Chato Wajitokeza Kwa Wingi Kumlaki Rais Dkt John Pombe Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wakazi wa wilaya ya Chato Mkoani Geita mapema leo. Wakazi kutoka vitongoji mbalimbali wilayani Chato mkoa wa...

View Article


Rais Magufuli Aagiza kufunguliwa kwa barabara ya Uwanja wa Ndege Mwanza...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa tanzania Dakta John Magufuli, ameagiza kufunguliwa kwa barabara ya Uwanja wa Ndege Mwanza -Igombe hadi Kayenze yenye urefu wa km.7 iliyofungwa kupisha upanuzi wa uwanja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJIBU YAMETOLEWA: Mabasi ya haraka yakianza kazi Dar zile Daladala barabara...

Mabasi ya mwendo wa haraka kwenye jiji la Dar es salaam yapo kwenye majaribio ya kuanza kazi hivi karibuni na inawezekana ulijiuliza kama itakuwa ni chaguo lako upande Mabasi hayo au daladala barabara...

View Article

Taarifa Za Watumishi Hewa Zatua Ofisi Ya Rais-tamisemi.

Mtakumbuka kwamba leo ni siku ya 15 ya utekelezaji wa Agizo la Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alilolitoa kwa Wakuu wa Mikoa la kuwataka kuwaondoa kwenye malipo watumishi hewa....

View Article


Waliompiga Daktari Mkoani Mtwara Wakamatwa Wakijiandaa Kutoroka Kwenda Nje ya...

Kufuatia tukio la ndugu wa mgonjwa  kumpiga Daktari Mkoani Mtwara, tayari jeshi la Polisi Mkoani humo linawashikilia watu kadhaa kwa kitendo hicho cha kumpiga Daktari wakati akiwa katika majukumu yake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wabunge watatu wa CCM waliofikishwa Mahakamani Dsm wapata dhamana, ilianzaje?

March 31 2016 Taasisi ya kupambana na Rushwa TAKUKURU iliwafikisha Mahakamani Kisutu Dar es salaam Wabunge wa CCM   Victor Mwambalaswa wa Lupa, Kangi Lugola wa Mwibara na Sadiq Murad wa Mvomero kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Majibu ya REA baada ya MCC kukatisha msaada wa TRILIONI 1 kwa Tanzania

Siku kadhaa zilizopita bodi ya Shirika la Marekani la Changamoto za Milenia ( MCC)  ilisitisha msaada wa awamu ya pili wa kutoa zaidi Trilioni 1.4 kwa Tanzania kutokana na kile lilichosema kuwa ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mambo matano ya kufahamu kuhusu Daraja la Kigamboni Dsm kabla ya kuanza...

Ujenzi wa daraja la Kigamboni ambalo linapita juu ya bahari ya hindi Dar es salaam kuwezesha wanaokwenda na kutoka Kigamboni kuvuka kwa urahisi bahari bila kutumia Pantoni, umekamilika kwa asilimia 90...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanafunzi washindwe wenyewe, Faraja Nyalandu kawawezesha kujisomea hata kwa SMS

Faraja Nyalandu ni mrembo wa Kitanzania ambae uzito wa jina lake uliongezeka baada ya kushiriki kwenye shindano la Miss Tanzania 2004,  ambapo kipindi cha karibuni uzito wa jina lake uliongezeka baada...

View Article

Wakuu Wa Mikoa Wawasilisha Ripoti Za Watumishi Hewa ……..Mwanza Yaongoza Kuwa...

Hatimaye  wakuu wa Mikoa yote nchini wametii agizo la Rais John Magufuli lilokuwa linawataka wasilishe ripoti ya idadi ya watumishi hewa kwenye mikoa husika. Wakuu hao wa mikoa wapya wamewasilisha...

View Article

Makamu Wa Pili Wa Rais Wa Zanzibar Aapishwa

Balozi Seif Ali Iddi akielekea sehemu ya kula kiapo kuwa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar alipoapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika hafla...

View Article

Tanzania yapokea msaada wa shilingi bilioni 116.4 kutoka Japan.

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini hati mbili za makubaliano na Serikali ya Japan itakayoiwezesha Tanzania kupata kiasi Yen Bilioni 6 ambazo ni sawa na Sh. Bilioni 116.4 za...

View Article


TAKUKURU Yabuni Mbinu Mpya ya Kupambana na Rushwa

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Kinondoni imebuni mbinu mpya ya kushirikiana na wananchi kwa urahisi zaidi katika mapambano dhidi ya rushwa kwa kusogeza huduma zake za kiofisi kwa...

View Article

Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) Yasema Imejipanga kukusanya Bilioni 8...

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema imeanza kutekeleza mikakati mipya ya ukusanyaji wa mikopo ya elimu ya juu kutoka kwa wadaiwa ambayo itaongeza wastani wa ukusanyaji wa Tshs...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo April 1, 2016

[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Apiga Simu Clouds TV Na Kutaja Mshahara Wake Anaolipwa….Asema...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli amempigia simu mtangazaji wa kipindi cha ‪Clouds360‬ cha ‪‎CloudsTv‬, Hudson Kamoga baada ya kusikia watu wanazungumzia kuhusu...

View Article


EWURA Yashusha bei za Umeme kwa watumiaji wa Viwango tofauti Kuanzia...

Mamlaka ya Usimamizi wa Huduma za Nishati na Maji EWURA imetangaza kushusha bei za umeme kuanzia leo kwa watumiaji wote wa viwango tofauti. Kushuka huko kwa bei ya umeme ni kutokana na ombi la Shirika...

View Article

Mwenyekiti wa Kitongoji Auawa Baada ya Kufumaniwa Akifanya Mapenzi na Mke wa...

Mwenyekiti wa Kitongoji cha Bweya katika Kijiji cha Bweya mkoani Geita, Augustine Katemi (42) ameuawa baada ya kufumaniwa akifanya mapenzi na mke wa mtu vichakani. Mwenyekiti huyo alifariki dunia...

View Article

Wabunge Wataka Wanaoharibu Miundombinu ya DART wachukuliwe hatua Kali

KAMATI ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa imeiagiza serikali kuwachukulia hatua kali wale wote waliovamia miundombinu ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) na kuigeuza kuwa masoko ya bidhaa...

View Article
Browsing all 1303 articles
Browse latest View live