ACT-Wazalendo Wamtaka Spika wa Bunge Kushughulikia Suala la Rushwa Kwa...
CHAMA cha ACT Wazalendo kimepokea kwa masikitiko uamuzi uliofanywa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, kwa kuhamisha kamati, Wenyeviti, Makamu Wenyeviti na Wajumbe wa...
View ArticleSamatta hajakubali kuona rekodi ya Tanzania ikivunjwa na Chad mikononi mwake
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars March 23 imeshuka katika dimba la Idriss Mahamat kucheza na wenyeji wao timu ya taifa ya Chad katika muendelezo wa michezo ya makundi ya kuwania kufuzu michuano...
View ArticleMaamuzi mengine leo kutoka kwa Waziri wa Magufuli
March 23 2016 Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ime kutana na Baraza la Wazee wa Dar es salaam na kusikiliza changamoto zinazowakabili katika jamii. Katika kutatua changamoto...
View ArticleUsitarajie kumuona Ibrahimovic Man United kama mambo yataendelea kuwa hivi …
March 25 starsport wamerudisha jina la Zlatan Ibrahimovic kwenye headlines za kutaka kujiunga na klabu ya Man United ya Uingereza akitokea Paris Saint Germain ya Ufaransa . Jina la Zlatan safari hii...
View ArticleMakusanyo TRA yashuka
Kiwango cha ukusanyaji wa mapato ya serikali yanayotokana na kodi mbalimbali kimeshuka kati ya Desemba mwaka jana na mwezi huu. Itakumbukwa kuwa Novemba mwaka jana, makusanyo ya Mamlaka ya Mapato...
View ArticleRais Magufuli atajwa mgogoro Chuo cha Ualimu Mpwapwa
RAIS John Magufuli anatajwa kuwa mwenye suluhu katika mgogoro unaoendelea katika Chuo cha Ualimu Mpwapwa kilichopo Dodoma, anaandika Dany Tibason. Mgogoro huo unamuhusisha Victoria Komanya, mkufunzi...
View ArticleWatu Wawili Wauawa Na Majambazi Jijini Mwanza. Wengine Saba Wajeruhiwa.
Watu wawili wameuawa Jijini Mwanza kwa kupigwa risasi na Majambazi, huku Wengine saba wakijeruhiwa katika tukio la uvamizi wa duka lililokuwa likitoa huduma mbalimbali za kifedha. Kamanda wa Polisi...
View ArticleRonaldo ashindwa na penalti
Mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo alikosa penalti kwa mara ya pili mfululizo huku timu yake Portugal ikipoteza nyumbani dhidi ya Bulgaria katika mechi ya kirafiki. Marcelinho alifunga bao...
View ArticleZika: Marekani yawashauri wanaume na wanawake
Mama aliyejifungua mtoto mwenye maradhi ya Zika Idara ya Afya nchini Marekani imetoa ushauri mpya kuhusiana na uja uzito na virusi vya Zika. Idara hiyo kwa sasa inapendekeza kuwa...
View ArticleUsmanov: Arsenal ”inamuhitaji” Arsene Wenger
Arsenal ”inamuhitaji” Arsene Wenger hivyobasi mkufunzi huyo wa The Gunners ana uwezo wa kumchagua mrithi wake wakati atakapoondoka,kulingana na mwanahisa mkuu wa klabu hiyo Alisher Usmanov. Wenger pia...
View ArticleMtoto wa Siku Moja Aibwa Hospitali ya Rufaa ya Bugando
Mtoto wa siku moja ameibwa katika mazingira ya kutatanisha katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando, akiwa pembeni mwa mama yake aliyekuwa amelala, mwenye umri wa miaka 16. Akizungumzia uporaji huo jana,...
View ArticleSerikali Ya Tanzania Haina Mpango Kwa Kuteketeza Meno Ya Tembo Yaliyohifadhiwa
Serikali ya Tanzania imetoa tamko kuwa kwa sasa haina mpango wowote wa kuteketeza meno ya tembo yaliyohifadhiwa ambayo yametokana na vitendo vya ujangili na vifo asilia vya tembo. Tamko hilo...
View ArticleSanders amshinda Clinton Washington
Image copyright AFP Image caption Sanders amshinda Clinton Washington Mgombea wa kiti cha urais wa Marekani katika chama cha Democtrats bwana Bernie Sanders ameshinda majimbo mengine mawili katika...
View ArticleEL CLASICO Ipo njiani ni april 2 ndani ya nou camp
APRIL 2 Wanasema hatumwi mtoto dukani katika nchi ya hispania,ni ligi maarufu inayoitwa La liga ni watawala wakuu wa nchi hiyo barcelona na maadui zao real madrid.Katika mechi ya mwisho timu ya...
View Articlekiama kumfikia memphis depay mara ifikapo mwisho wa msimu kwa kutemwa na timu...
Winga wa Manchester United Memphis Depay ataondoka msimu huu hii imeripotiwa na ‘The sun’ kuwa winger huyo ameshindwa kufikia matakwa ya timu hiyo ya mji wa Manchester Depay alitazamiwa kuwa ndiye...
View ArticleUtafiti: Wanawake Wanne Kati ya 10 Wanaofanya Biashara ya Ngono Wana UKIMWI
Utafiti uliofanywa na Shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na upimaji wa virusi vya Ukimwi la MATUMAINI, unaonyesha kuwa kati ya wanawake kumi wanaofanya biashara ya ngono wanaopima wanne kati...
View ArticleZaidi ya Wafanyakazi 400 wa TTCL Kupoteza Ajira
Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) ipo kwenye maandalizi ya kupunguza wafanyakazi wasiohitajika kwa sasa kutokana na kasi ya mabadiliko ya sayansi na teknolojia. TTCL inayotoa huduma za simu na pia kutoa...
View ArticleRais Magufuli Amuapisha Mkuu Wa Mkoa Mpya Wa Songwe Mhe. Chiku Gallawa Ikulu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Luteni Mstaafu Chiku Gallawa kuwa mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 28, 2016 Rais wa...
View ArticleDk Shein amteua Balozi Seif Ali Idd Kuwa Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar
Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein amemteua Balozi Seif Ali Idd kuwa Makamu wa Pili wa Rais wa visiwa hivyo. Kwa mujibu wa mamlaka aliyopewa chini ya kifungu cha 39 (2) cha...
View ArticleTaarifa ya ACT-Wazalendo:Uamuzi Wa Bodi Ya Wakurugenzi Ya MCC Wa Kusitisha...
TAARIFA KWA UMMA UAMUZI WA BODI YA WAKURUGENZI YA MCC WA KUSITISHA MAHUSIANO NA TANZANIA YATAWAUMIZA WANANCHI WA VIJIJINI CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeupokea kwa masikitiko makubwa uamuzi wa Bodi ya...
View Article