Mama Samia ziarani Mkoa wa Geita
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Geita Mhe. Fatma Mwassa alipowasili Uwanja wa Ndege wa GGM Geita leo Januari 04,2016 kwa...
View ArticleNEW VIDEO:MwanaFA-asanteni kwa kuja
Audio iliachiwa toka December 2015 ila leo kazi ni kwetu kuitazama video…. imefanyika Afrika Kusini , ndiyo hii hapa chini unaweza kuitazama kisha tuachie comment yako FA akipita ajue watu wake...
View ArticleMwigulu Nchema Atumbua Majipu Mengine…….Amsimamisha Kazi Mkurugenzi Mkuu wa...
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba jana alifanya ziara ya siku moja kukagua mradi wa ujenzi wa machinjio ya kisasa ya ranchi ya Taifa ya Ruvu. Akiongea na waandishi wa habari baada...
View ArticleSerikali Yanunua Mashine Mpya Ya CT-Scan Katika Hospitali Ya Taifa Ya...
Na Magreth Kina-Maelezo Serikali imenunua mashine mpya ya CT-Scan yenye thamani ya takriban dola za Marekani milioni 1.7 yenye uwezo wa hali ya juu kwa ajili ya kutoa huduma za uchunguzi wa...
View ArticleWaziri Mkuu Awaonya Wanyonyaji wa Wakulima….Aziagiza Halmashauri Kujenga...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekagua maghala ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) kanda ya Songea, wakati akiendelea na ziara yake mkoani Ruvuma. Akizungumza na wafanyakazi wa Wakala...
View ArticleKalapina afungukia kumsifia Rais Magufuli
MKALI wa nyimbo za harakati na aliyekuwa mgombea wa Ubunge kupita tiketi ya Chama cha ACT, Kalama Masoud, ‘Kala Pina’ amefungukia sababu za kumsifia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe...
View ArticleWadhamini wa jezi wa Man United, Adidas watoa ya moyoni, yapo hapa
Mkurugenzi Mtendaji wa Adidas, Herbert Hainer. Wadhamini wa Manchester United ambao ndiyo wanaoitengenezea klabu hiyo jezi, Adidas wametoa maoni yao kuhusu mwenendo wa klabu hiyo na kusema kuwa...
View ArticleLinex kulamba shavu Sweden
Mkali wa Bongo Fleva Sunday Mjeda ‘Linex’. DEOGRATIUS MONGELA MSANII wa Muziki wa RnB, Mtanzania mwenye maskani yake nchini Sweden, Khairat Carlo Omar, ’Dati’ amemshirikisha kwenye songi lake Mkali...
View ArticleMakubwa ya mtoa siri wa Raisi Magufuli wa Hospital ya Muhimbili.
Chacha Makenge. DAR ES SALAAM: Yule mgonjwa anayeaminika ndiye aliyetoa siri ya kuharibika kwa mashine za CT Scan na MRI Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa Rais Dk. John Magufuli na wiki iliyopita kudai...
View ArticleYanga awa Mbabe kwa Mtibwa Sugar Ingawa wote ni wababe.
Mchezo wa mwisho wa Kundi B katika michuano ya Kombe la Mapinduzi umepigwa usiku huu katika dimba la Amaan visiwani Zanzibar , huu ni mchezo ambao umezikutanisha timu za Mtibwa Sugar dhidi ya...
View ArticleMagazeti Ya Leo Ijumaa Ya Januari 8
[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleProfesa Muhongo Awataka EWURA NA TANESCO Waongeze Kasi Kazini…..Aagiza...
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amewaagiza watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) na wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kutafuta uwezekano wa...
View ArticleWaziri Mkuu Aridhishwa na Huduma za Matibabu Wanazopewa Wazee
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa amefarijika kuona wazee wanapata huduma za matibabu bure na kwa utaratibu mzuri katika hospitali ya Mkoa wa Ruvuma. Akizungumza na madaktari, wauguzi na...
View ArticleMajipu 9 Yatumbuliwa Kigoma Kwa Tuhuma Za Ufisadi wa Majengo ya KIGODECO na...
WAKUU wa idara tisa katika Halmashauri ya manispaa ya Kigoma Ujiji mkoani Kigoma, wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi wa tuhuma za ufisadi kwenye matumizi ya fedha na uuzwaji wa majengo ya...
View ArticleShehena Ya Petroli FEKI Yakamatwa….Serikali Yaamuru Irudishwe Ilikotoka!
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS), limeamuru shehena ya mafuta ya petroli iliyoagizwa kutoka Falme za Kiarabu irejeshwe ilikotoka kutokana na kubaini hayana ubora unaotakiwa kwa matumizi ya magari na...
View ArticleChadema Wajichimbia Kilimanjaro Kujitathimini
Siku 74 baada ya kushindwa katika Uchaguzi Mkuu mwaka jana, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jana kimefanya kikao cha kujitathmini na kuweka mpango kazi kwa miaka mitano ijayo. Katika...
View ArticleConduit Fittings and Supports
In Article ” Types of Electrical Conduits “, I explained the following points: Definition of An electrical conduit, Advantages of using Electrical conduits than other wiring methods, Disadvantages of...
View ArticleCAB-1: Conductors Inspection Course
Course Description: This course is intended to prepare the target persons with the ability to inspect Conductors, wires and cables according to applicable standards. The target Persons: Design...
View ArticleProperties of Conductors
In the previous Article,” Introduction to Conductor Inspection “, I listed all the important terms and their definitions in one complete glossary. Today, I will explain the different Properties of...
View ArticleBomoaBomoa Yaipasua Kichwa Serikali…….Mwanasheria Wa Nemc Aliyehalalisha...
TAARIFA YA SERIKALI KUHUSU ZOEZI LA KUHAMISHA WAKAZI WA MABONDENI KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM Utangulizi Nchi yetu ina kingo za mito na mabonde na maeneo mengi hatarishi ambamo watu wanaishi kinyume...
View Article