Screw Conveyor Power Calculation | Screw Conveyor Capacity Calculation |...
Power requirement of Screw Conveyors: The driving power of the loaded screw conveyor is given by: P = P H + P N + P st Where, P H = Power necessary for the progress of the material P N = Driving power...
View ArticleScrew Conveyor Types | Helicoid Screw Flight | Ribbon Flight Conveyor Screws
Types of screw flight: The screw of the conveyor may be right hand or left hand, the right hand type being the usual design. The threads of the screw may be single, double or triple. The flight of the...
View ArticleScrew Conveyor Working | Screw Conveyor Applications | Screw Conveyor Pdf
Application of screw conveyors: Screw conveyors are employed for handling a great variety of materials which have relatively good flowability. Sticky and stingy materials are unsuitable for screw...
View ArticleWaziri Mkuu Awapongeza Makatibu Wakuu Na Naibu Katibu Wakuu ……Awataka Wakuu...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewapongeza Makatibu Wakuu na Naibu Katibu Wakuu, mara baada ya kuapishwa Ikulu leo jijini Dar es Salaam. Ametoa pongezi hizo wakati Makatibu Wakuu na Naibu Katibu Wakuu...
View ArticleRais Dkt. Shein Atoa Salam za Mwaka Mpya…..Aahidi Zanzibar Itaendelea Kuwa...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametoa risala ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2016 kwa wananchi na kueleza kuwa takwimu za mwanzo wa mwaka 2015, uchumi wa...
View ArticleWananchi watakiwa kuwa nje ya mita 60 kutoka vyanzo vya maji vinavyopeleka Mtera
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (katikati) akizungumza na wananchi katika kijiji cha Chimwenga wilaya ya Mbeya vijijini ambapo Naibu Waziri aliwaeleza wananchi hao umuhimu wa...
View ArticleBaada ya kupotea kwa wiki mbili, staa wa soka Ivory Coast amekutwa amefariki...
Ikiwa ndani ya wiki zisizo pungua tatu ulimwengu wa soka umepokea taarifa za vifo vya wanasoka wawili, mchezaji wa timu ya taifa ya Honduras Arnold Peralta na aliyekuwa mchezaji wa zamani wa timu...
View ArticleBasi lenye abiria 42 latumbukia mtoni
WATU sita wamekufa papo hapo na wengine 25 kujeruhiwa na kulazwa hospitalini kutokana na ajali mbili tofauti. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo, alisema mjini hapa jana kuwa ajali...
View ArticleWaziri Mkuu Majaliwa Kutikisa Mkoa wa Ruvuma Kwa Siku 3 Kuanzia Leo
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo ataanza ziara ya siku tatu mkoani Ruvuma, kuhimiza na kukagua shughuli mbalimbali za maendeleo. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa, Said Mwambungu alipozungumza na...
View ArticleTRL Yasitisha Kwa Muda Safari Za Treni Ya Bara Kutokana Na Mafuriko Kati Ya...
KAMPUNI YA RELI TANZANIA (TRL) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI (PRESS RELEASE) Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania TRL umetangaza kusitisha kwa muda kuanzia Januari 01, 2016, huduma zake baada ya eneo...
View ArticleBajeti ya Uchaguzi Wa Marudio Zanzibar Yatengwa…….Kinachosubiriwa ni ZEC...
Makamo wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema bajeti ya uchaguzi wa marudio imeshatengwa na wanachosubiri ni Mwenyekiti wa Tume ya Uhaguzi Zanzibar (ZEC) atangaze tarehe hiyo ya...
View ArticleBalozi Seif Ali Iddi atoa Taarifa Rasmi ya Maadhimisho ya Sherehe za Mikaka...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba Maadhimisho ya Sherehe za kutimia Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964 yatafanyika kama kawaida na kupangwa kuanza...
View ArticleMtibwa Sugar yakubali kuendelea kuwa teja wa Azam FC
Hussein Javu akishangilia goli aliloifungia Mtibwa Mchezo kati ya Azam vs Mtibwa Sugar umemalizika kwa timu hizo kutoka sare ya kufungana kwa goli 1-1 kwenye mchezo wa pili wa Mapinduzi Cup ulionza...
View ArticleSakata la Upotevu wa Makontena Bandari Lachukua Sura Mpya Baada ya Chama cha...
Sakata la utoaji makontena bila kulipia tozo ya bandari, limechukua sura mpya baada ya Chama cha Mawakala wa Forodha (Taffa) kufungua kesi Mahakama Kuu, kupinga kitendo cha Mamlaka ya Bandari (TPA)...
View ArticleMwanamuziki Natalie Cole afariki dunia
Albamu yake ya Unforgettable ilishinda tuzo sita za Grammy Natalie Cole, mwanamuziki nyota kutoka Marekani aliyeimba nyimbo maarufu kama vile Unforgettable , amefariki akiwa na umri wa miaka 65....
View ArticleHabari katika magazeti ya leo january 04 2016
[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleCCM Wamvaa LOWASSA……Wamtaka Ajitokeze Hadharani Ataje Majina Ya...
CCM imesema kauli ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kuwa wafadhili wa Chadema wananyanyaswa, ina lengo la kuichonganisha Serikali na walipa kodi na kumtaka ataje waliofanyiwa vitendo hivyo....
View ArticleWaziri Mbarawa Atoa Siku Tatu Ukarabati Reli Ya Kati Iliyosombwa na Mafuriko
Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amewataka watendaji wa Shirika la Reli nchini (TRL) na Kampuni Hodhi ya Mali za Reli (RAHCO) kuhakikisha sehemu ya reli iliyosombwa na...
View ArticleIkulu Yamjibu Dk Makongoro Mahanga Aliyemtuhumu Rais Magufuli Kuunda Serikali...
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue amesema ameshangazwa na kauli ya aliyekuwa Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk Makongo Mahanga kuwa wingi wa makatibu wakuu unakinzana na dhana ya kupunguza...
View ArticleNyota wa Leicester Vardy kufanyiwa upasuaji
Vardy amefunga mabao 15 Ligi ya Premia msimu huu Mshambuliaji nyota wa Leicester City Jamie Vardy hataweza kucheza kwa wiki mbili baada yake kufanyiwa upasuaji. Fowadi huyo wa Uingereza amefanyiwa...
View Article