Wasiopeleka Watoto Shule Kuburuzwa Kortini Machi 30
SERIKALI imesema haitosita kuwafungulia mashtaka na kuwapeleka mahakamani ifikapo Machi 30, mwaka huu, wazazi ama walezi wote watakaoshindwa kupeleka watoto wao shuleni ili kupata elimu ya msingi na...
View ArticleArduino 5 Minute Tutorials: Lesson 8 – Wheatstone Shield & LCD
Since the creation of the post Interfacing a Load Cell With an Arduino Board, we received many requests from customers about displaying the data read from the load cell on an LCD screen. This tutorial...
View ArticlePure Unadulterated Power
Power is defined as the rate of which an amount of energy is used to accomplish work. In the mechanical realm, we tend to use the term “horsepower” when describing how much energy a engine can...
View ArticleThe Relay Races
Knowing that magnetism and electronics are related is a very important lesson. Just how important will become evident in the next few lessons, as we will be discussing the interaction of electricity...
View ArticleMeasuring 2012 Hurricane Sandy with the Axon Mote
Hurricane Sandy I grew up in Louisiana so hurricanes aren’t really a big deal for me. Except for maybe Katrina but let’s stay on topic here . . . Anyway, I live near DC now and so when there is a...
View ArticleMadereva wa Mabasi Ya ‘Mwendo Kasi’ wapanga kuigomea serikali
Madereva wa mabasi yaendayo haraka jijini Dar es salaam wamesema watagoma kuendesha magari hayo kufuatia uongozi wa mabasi hayo kuwapa mkataba wa kazi usiokidhi mahitaji. Baadhi ya mahitaji hayo ni...
View ArticleMagazeti Ya Leo Jumapili ya Tarehe 10
[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleMuswada wa Habari Kurejeshwa Tena Bungeni
MUSWADA wa Sheria ya Habari ambao uliwahi kupelekwa bungeni kisha kuondolewa kimya kimya, sasa unatarajiwa kurejeshwa tena bungeni mwezi huu. Uwezekano wa kurejeshwa tena bungeni kwa muswada huo,...
View ArticleWakazi wa Chamwino Dodoma Wala Viwavi Jeshi Kuikabili Njaa
Wakazi wa Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma wanakula wadudu jamii ya viwavi jeshi, wanaojulikana kwa jina la fumbili kutokana na njaa kali iliyoikumba wilaya hiyo. Hata hivyo, chakula hicho huenda...
View ArticleTube Theory – The Diode
Both of the schematics above show the operation of a diode tube. Now let’s study a little about the theory of its use. While not the only use for a diode, the most common use is that of...
View ArticleWafanyakazi 360 wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote Wakamatwa Kwa Kufanyakazi...
Wafanyakazi zaidi ya 360 wa kiwanda cha saruji cha Dangote mkoani Mtwara, wamekamatwa kwa kufanya kazi nchini bila kuwa na vibali vya Uhamiaji. Kamatakamata hiyo imekuja baada ya agizo la Waziri wa...
View ArticleUtingo wa basi la Mohammed Trans afa katika ajali mkoani Singida
Kaimu kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP Simon Haule, akitoa taarifa ya ajali la basi la kampuni Mohammed Trans kuuwa utingo wake Abdallah Athumani (35) mkazi wa Shinyanga mjini. BASI...
View ArticleMagazeti ya Leo Jumatu ya Januari 11
[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleAskofu Kanisa La Anglikana Atimuliwa kwa Ufisadi wa Mamilioni ya Pesa
KANISA la Anglikana Tanzania Dayosisi ya Victoria Nyanza (DVN) lililopo jijini Mwanza, limemtimua rasmi Askofu kanisa hilo, Boniface Kwangu, kutokana na ubadhilifu wa zaidi ya Sh. 600 milioni....
View ArticleMsako Wahamiaji Haramu Wanaofanya kazi Nchini bila Kufuata sheria za Nchi...
WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imesema operesheni kwa lengo la kuwachukulia hatua raia wa nje wanaofanya kazi nchini bila kufuata sheria za nchi, ni endelevu na itagusa maeneo yote ikiwemo...
View ArticleMaalim Seif Sharif Hamad Kupasua JIPU Leo Saa Tano Asubuhi
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, leo anatarajia kufichua siri ya mazungumzo ya kusaka suluhu, baada ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar kufutwa mwaka jana....
View ArticleNikipata mwanamke atakayeweza kuziba nafasi ya Shilole ndio nitafuta tattoo...
Ingawa Shilole tayari amefunika tattoo aliyochora kifuani yenye jina la ex wake Nuh, kwa kuongeza mchoro wa ua juu yake baada ya wawili hao kuachana, Nuh Mziwanda amesema yeye bado hajaamua kufuta...
View ArticleSpika wa Bunge Kutangaza Kamati Za Bunge Leo
Spika wa Bunge, Job Ndugai, anatarajia kutangaza kamati za Bunge leo chini ya utaratibu mpya na kwamba leo atatangaza Kamati ya Kanuni pekee. Baada ya kuitangaza kamati hiyo, nyingine zilizobaki...
View ArticleSerikali Kugawa BURE Mbegu za Mazao Yanayohimili Ukame kwa Wananchi Wanao...
Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu, Idara ya Uratibu maafa imeanza mkakati wa menejimenti ya maafa ya ukame kwa kuwawezesha wananchi wanao kabiliwa na njaa kuweza kukabili maafa hayo kwa kuwagawia...
View ArticleCUF: Uchaguzi unaweza kuzua vurugu Zanzibar
Chama cha CUF kimepinga hatua ya tume ya uchaguzi ya kufuta matokeo ya uchaguzi wa urais Chama cha Wananchi (CUF) kimeonya kuwa kurudiwa kwa uchaguzi visiwani Zanzibar kunaweza kusababisha vurugu na...
View Article