Toka Bungeni: Hatimaye Bunge Laanza Kujadili Mpango wa Maendeleo Uliokwama...
Hatimaye leo Bunge limeanza kujadili mpango wa maendeleo ya mwaka 2016/2017, baada ya bunge hilo kutengua kanuni ili kupitisha mpango huo ambao ulikataliwa wa baadhi ya wabunge wiki iliyopita....
View ArticleKikwete Apata Uteuzi mwingine Mzito wa Kimataifa
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ameteuliwa na Mheshimiwa Dkt. Nkosazana Dlamini Zuma, Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (kulia) kuwa Mwakilishi wa Umoja wa Afrika katika mchakato wa...
View ArticleDr. Shein Azindua Miaka 39 ya Kuzaliwa CCM…..Asisitiza Chama Chake Kiko...
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema chama hicho kipo tayari kwa uchaguzi wa marudio Machi 20 kwa lengo la kuhakikisha kinashika dola na waliochukua uamuzi wa kususa ni...
View ArticleJinsi Rubani Rodgers Gower Alivyouawa Na Majangili
Siku moja baada ya kifo cha rubani Rodgers Gower (37) aliyekuwa anaendesha helikopta inayomilikiwa na Mwiba Holdings, baadhi vyombo vya habari vya kimataifa vimeripoti kuwa huenda bunduki iliyomuua ni...
View ArticleAskofu Mpya KKKT Aonya Utumbuaji MAJIPU…….Amtahadharisha Rais Kutumbua Majipu...
(Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Frederick Shoo (kulia) na Askofu Mkuu wa KKKT Mstaafu Alex Malasusa baada ya ibada...
View ArticleMahakama Yashusha Rungu kwa Majangili……..Yawapiga Kifungo cha Miaka 20 na...
Mahakama ya Wilaya ya Manyoni, mkoani Singida, imewahukumu mtu na kaka yake, kutumikia kifungu cha miaka 20 kila mmoja na kulipa fidia ya sh. milioni 270, baada ya kuwatia hatiani kwa makosa ya...
View ArticleVurugu: Watu Walioficha Nyuso Zao Wavamia na Kuvunja Vibanda vya Biashara na...
Watu wasiojulikana wamevamia katika makazi ya watu eneo la Msumbiji mjini Unguja na kuvunja mabanda na msikiti. Watu hao maarufu kama mazombi, walifanya uhalifu huo usiku wa kuamkia jana, ambapo...
View ArticleMagazeti Ya Leo Jumanne ya Februari 2
[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleMke wa Kafulila Amlipua Dr. Mwakyembe Kuhusu Sakata La Mabehewa...
Sakata la ununuzi wa mabehewa kwa ajili ya Shirika la Reli Tanzania (TRL) yanayodaiwa kuwa mabovu liliibuka jana Bungeni na kumuinua Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Harrison Mwakyembe ambaye alikuwa...
View ArticleCRDB Yawatoa Hofu Wateja Wake Baada Ya Serikali Kuagiza Akaunti za Taasisi...
(Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, kuhusu serikali kuhamishia akaunti zote za mapato Benki Kuu. Kulia ni Mkurugenzi...
View ArticleTamko La Serikali Kuhusu Mwenendo Wa Ugonjwa Wa Kipindupindu Nchini
Tamko Kuhusu Mwenendo Wa Ugonjwa Wa Kipindupindu Nchini Lililotolewa Na Mhe. Ummy Mwalimu (mb); Waziri Wa Afya, Maendeleo Ya Jamii, Jinsia, Wazee Na Watoto, Tarehe 1 Februari 2016 Ndugu Waandishi wa...
View ArticleWabunge Wa Upinzani Wagoma Kuteua Wenyeviti PAC Na LAAC
Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amesema kutokana na Spika wa Bunge kuteua kibaguzi wajumbe wa kamati za kudumu za Bunge, wabunge wa upinzani hawatashiriki uchaguzi wa wenyeviti wa...
View ArticleToka Bungeni: Serikali Yakiri Kasoro Mradi wa TASAF…Yaahidi Kufanya Maboresho
Serikali imekiri kuwepo kasoro nyingi zilizojitokeza katika mradi Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini unaotekelezwa na TASAF ikiwamo ubadhirifu wa fedha kwa Kaya sizizokuwa na sifa kupewa pesa kupitia...
View ArticleKigwangalla: Serikali itaendelea kuwafungia mageti watumishi Watumishe Wazembe
Serikali haitokuwa tayari kuwaona watumishi wa umma wachache wakinufaika na kufaidi pesa za walipa kodi hususan wa kipatao cha chini na wale maskini Hayo yamesema wilayani Nzega na Naibu Waziri wa...
View ArticleWaziri Wa Ujenzi, Uchukuzi Na Mawasiliano Profesa Mbarawa Amteua Bwana...
WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amemteua Bwana Masanja Kungu Kadogosa kuwa Kaimu Mkurugenzi...
View ArticlePolisi Yapiga Marufuku maandamano ya vijana wa Chadema kwenda Ikulu Kesho
Jeshi la Polisi limetoa tamko kuhusu tangazo la Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) kuwa kesho wamepanga kufanya maandamano hadi Ikulu kwa lengo la kuishinikiza serikali kubadili msimamo wake kuhusu...
View ArticleWaziri Wa Mambo Ya Nje Augustine Mahiga Ala Kiapo Bungeni Akiwa Mpweke
Kiapo cha uaminifu cha Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Kimataifa, Kikanda na Kimataifa, Dk Augustine Mahiga jana, kilikuwa sawa na viapo vingine, lakini alikosa vionjo kama ilivyokuwa kwa...
View ArticleAhadi Ya Rais Mtaafu Kikwete Yaibuliwa Bungeni
Ahadi iliyotolewa na Rais wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete, Januari 25, mwaka 2008, jana ilizua maswali bungeni baada ya Mbunge wa Dimani (CCM), Hafidhi Ali Tahil, kuhoji ni lini Serikali itaanza...
View ArticleBodaboda Agonga Gari Na Kufariki Papo Hapo
DEREVA wa bodaboda, Colnery Mpande (18), mkazi wa Kiluvya Kwa Komba, amekufa baada ya pikipiki aliyokuwa akiiendesha kugonga gari kwa nyuma na yeye kuangukia barabarani na kukanyagwa kichwa na gari...
View ArticleTRA Yaendelea Kuikaba Koo StarTimes
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imesema Kampuni ya StarTimes inayouza ving’amuzi kwa ajili ya ‘chaneli’ mbalimbali za televisheni, ikiwamo Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) inafanya biashara ya...
View Article