Majaliwa atoa heshima za mwisho kwa Mwanasheria wa Bunge
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Mshauri Mkuu wa Masuala ya Sheria wa Bunge, marehemu Oscar Mtenda nyumbani kwa marehemu mjini Dodoma Januari 26, 2016. (Picha na...
View ArticleTRA yawaomba wananchi kutoa ushirikiano
Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi (TRA), Richard Kayombo. Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yawaomba wananchi kutoa ushirikiano kwa kutoa taarifa za Maafisa...
View ArticleVyama vya Siasa vyaaswa kushiriki uchaguzi wa Zanzibar
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Mhe.Jaji Francis Mutungi. (Picha na Maktaba). Na mwandishi wetu Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Mhe.Jaji Francis Mutungi ameviasa Vyama vya Siasa kushiriki chaguzi...
View ArticleMkataba wa Schengen huenda ukasimamishwa kwa muda
Umoja wa Ulaya unasema mkataba wa eneo la Schengen, huenda ukasimamishwa kwa hadi miaka miwili ikiwa utashindwa katika wiki chache zijazo kudhibiti mmiminiko wa wahamiaji kutoka Mashariki ya Kati na...
View ArticleWapambe Wa Wassira Kukata Rufaa Kupinga Hukumu Ya Mahakama Kuu Iliyohalalisha...
Baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Mwanza, kuipiga chini kesi iliyokuwa ikimkabili mbunge wa Bunda Mjini (Chadema), Esther Bulaya, wadai katika kesi hiyo wanatarajiwa kupinga uamuzi huo...
View ArticleAmuua Mwenzake Kwa Kipigo Baada Ya Kumkuta Akimtongoza Dada Yake
Mkazi wa kijiji cha Kalovya – Inyonga wilayani Mlele, Ramadhani Ally (20) amefariki dunia akipatiwa matibabu hospitalini baada kupigwa na kijana mwenzake. Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa...
View ArticleHotel ya Mtoto wa Amani Karume yateketea kwa moto, Vijana wawili wahusishwa
Moto mkubwa umeteketeza hoteli ya kitalii ya Konokono Beach Resort iliyoko Michamvi mkoa wa kusini Unguja, inayomilikiwa na mtoto wa rais wa zamani wa Zanzibar, Amina Karume pamoja na wawekezaji...
View ArticleRais Magufuli Amteua Paul Chagonja kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi
==> Paul Chagonja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wawili wa mikoa ya Mwanza na Katavi ili kujaza nafasi za Makatibu Tawala wa...
View ArticleChenge Awapa Somo Wabunge Kuhusu Matumizi ya Kanuni Za Bunge….Ni Baada ya...
Mwenyekiti wa kikao cha Bunge ambaye pia ni Mbunge wa Bariadi Magharibi Andrew Chenge maarufu kwa jina la Mtemi amewataka wabunge kujifunza kwa umakini namna bora ya kutumia kanuni za Bunge....
View ArticleWaziri Mkuu: Tutahakikisha Nidhamu Inarudi Serikalini
Waziri mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa,amesema serikali imeweka msisitizo katika kuhakikisha inarudisha nidhamu kwa watumishi wa umma kwa kuweka mkazo katika uadilifu, uwajibikaji, kutoa...
View ArticleCCM Yaipongeza ZEC Kutangaza Tarehe Ya Marudio Ya Uchaguzi Zanzibar...
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimeelezea kuridhishwa kwake na maamamuzi ya Tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) kwa kutangaza siku ya kufanyika kwa uchaguzi wa marudio kwa nafasi ya Urais, Uwakilishi...
View ArticleRais Magufuli Awaapisha Balozi Na Makatibu Tawala Wawili…..Amtuea Luteni...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 30 Januari, 2016 amewaapisha Balozi, Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania na Makatibu Tawala wawili, Ikulu Jijini...
View ArticleNchi 12 Za Ulaya na Marekani Zalaani Tume Ya Uchaguzi Zanzibar Kutangaza...
Mabalozi wa nchi zinazounda Umoja wa Ulaya (EU) wameeleza kusikitishwa na kitendo cha Tume ya Uchaguzi (ZEC) kutangaza tarehe ya marudui ya Uchaguzi wakati mazungumzo ya kutatua mgogoro yakiendelea na...
View ArticleBalozi Amina Salum Ali Amuomba Seif Sharif Hamad Kufikiria Upya Uamuzi Wa...
Kada aliyegombea urais kwa tiketi ya CCM, Amina Salum Ali amesema mgogoro wa kisiasa Zanzibar hautakwisha hata baada ya Uchaguzi wa marudio kwa kuwa ni wa kihistoria na baadhi ya viongozi hawana nia...
View ArticleMahakama yamfutia kesi mtuhumiwa wa kupokea fedha za akaunti ya Tegeta Escrow
Aliyekuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), Philip Saliboko, ameachiwa huru katika shtaka la kutuhumiwa kuwa alipokea rushwa ya Sh milioni 40.4 kutoka kwa...
View ArticleINAUMA: Majangili Waitungua Helkopta na Kumuua Rubani Capt. Roger Katika...
Watu wanaodaiwa kuwa ni majangili na wawindaji haramu wameitungua kwa risasi helkopta ya doria ya wanyamapori katika pori la akiba la maswa lililoko wilaya ya Meatu mkoani Simiyu kusini mwa hifadhi ya...
View ArticleMagazeti ya Leo Jumapili ya Januari 31
[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleToka Bungeni: Nyumba 3500 Kujengwa kwa Ajili ya askari Polisi
Serikali inakamilisha taratibu zakupata mkopo toka serikali ya China bilioni 500 kwaajili ya ujenzi wa nyumba 3500 za askari wa jeshi la polisi nchini kufikia mwaka 2025. Naibu Waziri wa Mambo ya...
View ArticleToka Bungeni: Serikali Yaahidi Kuboresha Huduma Za Afya…….Wauguzi Wanaotoa...
Serikali imejipanga kutoa huduma bora za afya kwa wananchi kwa kuwawezesha kila mwananchi kupata Bima ya Afya itakayosaidia kupata huduma bora za afya katika zahanati na hospitali mbalimbali. Hayo...
View ArticleKutoka Bungeni: Serikali Kujenga Vyuo Vya VETA kila Wilaya
Serikali kupitia Wizara ya Elimu,Sayansi,Teknolojia na Ufundi inatarajia kujenga Vyuo vya Ufundi (VETA) kwa kila wilaya ili kutoa fursa kwa wananchi wengi hususani vijana kupata mafunzo mbalimbali ya...
View Article