Quantcast
Channel: AutomobileHeat » css
Browsing all 1303 articles
Browse latest View live

Mbowe Aanza Kulisuka Baraka Kivuli La Mawaziri

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ametoa mwelekeo wa upangaji wa uongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani bungeni na baraza kivuli la mawaziri, huku akionyesha kambi hiyo kuwa tayari kushirikiana na...

View Article


Wabunge Wa CCM Waungana Na Upinzani Kuibana Serikali Kuhusu Ujenzi Wa Reli,...

Bila kujali itikadi za vyama vyao, wabunge wameukosoa mwongozo wa kuandaa mpango wa Bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha wa 2016/17, wakihoji suala la ujenzi wa reli ya kati kwa viwango vya kimataifa...

View Article


Matukio Bungeni JANA.

 Naibu Spika Mhe.Dkt Tulia Ackson akiingia Bungeni tayari kuongoza Kikao cha 6 cha Mkutano wa pili wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.  Mhe. Balozi Dkt Augustine Maiga akuungia Bungeni tayari...

View Article

Mkoa Mpya wa Songwe na Wilaya Mpya Zaanishwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Pombe Joseph Magufuli ameidhinisha kuanzishwa kwa mkoa mpya wa Songwe na wilaya nyingine mpya nchini. Akitoa tamko hilo kwa niaba ya Rais Waziri wa...

View Article

Polisi Kudhibiti Uporaji Wa Fedha Kwenye Mabenk

(Na Raymond Mushumbusi-MAELEZO) Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kupitia Jeshi la Polisi imejipanga kudhibiti uhalifu unaofanywa na na baadhi watu kwa kupora fedha za wafanyabiashara au watu binafsi...

View Article


Viongozi wa Dini Wazidi Kutofautiana Kuhusu Sakata La Zanzibar…….Sheikh Ponda...

Mgogoro kuhusu kurudiwa kwa uchaguzi viswani Zanzibar unazidi kupasua nchi, sasa viongozi wa Dini ya Kiislam wametofautiana. Ikiwa ni siku moja baada ya Alhad Mussa Salum ambaye ni Sheikh Mkuu wa Dar...

View Article

IPTL Yakanusha Habari Zilizochapishwa na Gazeti La Jamvi La Habari Kwamba...

Makampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na Pan Africa Power Solutions (T) Limited (PAP), kwa masikitiko makubwa tumesoma taarifa mbali mbali zilizochapishwa na gazeti la...

View Article

Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Februari 4

[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat

View Article


Mahakama Yawaachia Huru Watoto Wa Vigogo Benki Kuu ya Tanzania (BoT)

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewaachia huru watoto wanane wa vigogo waliokuwa wameshitakiwa wakidaiwa kupatiwa ajira katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwa kutumia vyeti vya kughushi, baada ya...

View Article


Pius Msekwa Asema CCM imepoteza Sifa Ya Kuwa Chama Cha Wanyonge

Wakati kesho CCM ikiadhimisha miaka 39 tangu kuzaliwa kwake, kada mkongwe na muasisi wa chama hicho, Pius Msekwa amechambua uwezo na udhaifu wake, akibainisha kuwa kimepoteza sifa ya asili ya kuwa...

View Article

Mahakama Ya Rufaa Kuamua Ugomvi Wa Nyumba Kati Ya Afande Suleiman Kova Na...

Mahakama ya Rufaa wiki ijayo inaanza kusikiliza kesi za rufani 50 za jinai na madai katika Kanda ya Arusha ikiwamo rufaa ya makamishna wawili wa Jeshi wa Polisi wanaogombea nyumba ya serikali iliyopo...

View Article

Maalim Seif Shariff Hamad Adai Kikwete Ndiye Aliyevuruga Uchaguzi Zanzibar

Mgombea  urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad amemtuhumu Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete kwa kuingilia uchaguzi Zanzibar. Akizungumza kwenye mkutano wa viongozi wa wilaya na...

View Article

Magazeti Ya Leo Ijumaa Ya Februari 5

[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat

View Article


CT-Scan Iliyopelekwa Muhimbili Ilikuwa Ya UDOM

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto imekiri kwamba mashine ya CT Scan iliyofungwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ilikuwa ni ya kituo cha kisasa cha kutolea huduma za...

View Article

Maalim Seif Azungumza na Viongozi wa CUF Kisiwani Pemba…..Asisitiza...

Aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF) visiwani Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amewataka Wazanzibari na wapenda amani kuondoa shaka na kwamba, atatangazwa kuongoza visiwa hivyo....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Clinton na Sanders wakabiliana kwenye mdahalo

Image copyright Reuters Image caption Sanders na Clinton ndio wagombea pekee waliosalia chama cha Democratic Hillary Clinton na Bernie Sanders wamekabiliana kuhusu kudhibitiwa na matajiri wa Wall...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rwanda ”inapanga kumpindua Nkurunziza”

Image copyright AP Image caption Baraza la Usalama la UN Ripoti ya siri katika baraza la usalama la Umoja wa Mataifa inaishtumu Rwanda kwa kuwasajili na kuwapa mafunzo wakimbizi wa Burundi kwa lengo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanajeshi 120 wa UN kuondolewa CAR

Image copyright AFP Image caption Wanajeshi wanaolinda amani nchini Jamuhuri ya Africa ya kati wanashutumiwa kwa udhalilishaji wa kingono Zaidi ya askari 100 wanaolinda amani wa umoja wa mataifa...

View Article

Mawaziri wa awamu ya Tatu, Basil Mramba na Daniel Yona sasa kutumikia kifungo...

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeridhia waliokuwa Mawaziri wastaafu Basil Mramba na Daniel Yona kutumikia adhabu ya kifungo cha nje kwa kufanya usafi katika maeneo ya kijamii ikiwemo Hospitali ya...

View Article

Polisi Dar Yakamata Magari 2 Yaliyotumika Kubeba Kompyuta Zilizoibwa Kwenye...

Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kukamata magari mawili yakihusishwa na wizi katika ofisi ya kamshina mkuu wa TRA huku yakiwa na vifaa vilivyoibiwa katika ofisi hiyo vikiwa...

View Article
Browsing all 1303 articles
Browse latest View live