Diamond, Kiba Wafika Pabaya!
Nasibu Abdul ‘Diamond Platmumz’. Stori:Musa Mateja, WIKIENDA DAR ES SALAAM! Kutokana na mwenendo wa bifu lao la chini kwa chini ni dhahiri mafahari wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platmumz’ na...
View ArticleMama Kanumba: Lulu Umenichosha, Uniache!
Staa wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ Stori: Mayasa Mariwata, Wikienda Dar es Salaam: Bifu jipya! Kwa mara nyingine, baada ya kurushiana vijembe kwa muda mrefu, mama mzazi wa aliyekuwa stadi wa...
View ArticleA-Z Timbwili la Shilole studio
Zuwena Mohammed ‘Shilole’ na Nuh Mziwanda. Stori: Musa Mateja, Wikienda Dar es Salaam: Kimenuka mbaya! Gumzo kubwa mjini ni timbwili ‘hevi’ aliloliangusha Mbongo-Fleva wa kike, Zuwena Mohammed...
View ArticleLowassa Awapongeza Walioshinda Umeya Manispaa Za Ilala Na Kinondoni Leo
Aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa (katikati) akizungumza na waandishi wa habari Ofisini kwake...
View ArticleSerikali Yatoa Ripoti Mwenendo wa Kipindupindu Nchini
Naibu Katibu Mkuu (Tamisemi) Dk. Deodatus Mtasiwa akitoa ufafanuzi wa jambo kwenye mkutano huo na wanahabari (hawapo pichani). Kutoka kushoto ni, Mkurugenzi wa Huduma za Kinga Wizara ya Afya, Dk....
View ArticleWatu 62 wanamiliki nusu ya utajiri wa dunia
Matajiri zaidi 62 duniani, hivi sasa wanamiliki zaidi ya nusu ya utajiri wa wakaazi wote wa dunia, limesema shirika la hisani la Oxfam, kuelekea mkutano wa kiuchumi wa dunia – World Economi Forum...
View ArticleMkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mhandisi...
Sehemu ya Waombolezaji wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa aliekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mhandisi Suleiman Said Suleima, wakati wakiwasili kwenye Makaburi...
View ArticleLowassa Awapa Mtihani Mgumu Mameya wa UKAWA Dar…..Asema Atayeshindwa Kutimiza...
Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema na kuungwa mkono na vyama vya upinzani vinavyounda Ukawa, Edward Lowassa amewakumbusha Wabunge na Mameya wa chama hicho ambao watashindwa kutekeleza...
View ArticleShehena kubwa ya bidhaa za magendo yakamatwa katika bandari bubu Tanga...
Shehena kubwa ya Bidhaa Haramu ikiwemo Matairi,sukari,mafuta ya kupikia imekamatwa Bandari bubu Tanga kutokea Zanzibar. Operesheni hiyo imefanywa na Polisi 100 wakishirikiana na vyombo mbalimbali vya...
View ArticleEmergency Back Tie Recloser
View of the emergency back tie recloser, the can plant feeder and metering, the pole line feeding the main plant with metering, a recloser and the aerial fiber optic line. [via LEKULE] Follow us...
View ArticleMcGraw Edison Type RV Recloser
[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleEPS- Recloser
Recloser – Cold Test Recloser-Diagram [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleWahariri wa Mawio, MwanaHALISI waachiwa kwa dhamana
MHARIRI wa gazeti la Mawio, Simon Mkina na Mhariri wa gazeti la MwanaHALISI ambaye pia ni mwandishi Mwandamizi wa gazeti la Mawio, Jabir Idrissa jana wameachia kwa dhamana na Jeshi la Polisi, baada ya...
View ArticleBodaboda Zinazopandisha ‘Mishikaki’ Kupigwa Picha
KATIKA kukabiliana na madereva wa pikipiki wanaopakia abiria zaidi ya mmoja maarufu mshikaki, Jeshi la Polisi mkoani Pwani litatumia mbinu mpya ya kuwapiga picha madereva hao na kuwakamata baadaye...
View ArticleWalimu Wapigwa Marufuku Kupaka Wanja
Serikali wilayani Geita Mkoa wa Geita, imepiga marufuku walimu kuvaa mavazi yasiyolingana na taaluma yao na upakaji wanja na rangi ya mdomo kupita kiasi wanapokuwa kazini. Ofisa Utumishi wa Wilaya ya...
View ArticleMtizamo wa Rais Wa Chama Cha Walimu kuhusu "elimu bure"
[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleProf. Elisante Ole Gabriel akutana na Makamu wa Rais wa FIFA
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel kulia akiongea na Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Bw. Salman Bin Ebrahim Al Khalifa katikati...
View ArticleMajonzi nchini Kenya kufuatia mauaji ya al-Shabaab
Rais Uhuru Kenyatta akihutubia taifa baada ya mkasa wa mauaji dhidi ya wanajeshi wa nchi hiyo kusini magharibi mwa Somalia. Miili ya wanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) waliouwawa nchini...
View ArticleUN: Maelfu ya raia wameuawa Iraq
Takriban watu milioni 3.2 wamelazimika kuhama makwao nchini Iraq Umoja wa Mataifa unasema kuwa ghasia zinazowakumba raia nchini Iraq ni nyingi huku takriban watu 18,800 wakiuawa kati ya tarehe mosi...
View Article