Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye Aruhusiwa Kutoka Hospitali
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye aliyekuwa amelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliyoko Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), ameruhusiwa kurudi nyumbani. Ofisa Uhusiano...
View ArticleTanzania Yachafuliwa Burundi…….Yatuhumiwa Kupitisha Silaha Bandarini Dar es...
RAIS Dk. John Magufuli ameombwa kuzuia upitishwaji wa silaha za kivita zinazodaiwa kupitishwa katika Bandari ya Dar es Salaam kwenda nchini Burundi. Ombi hilo lilitolewa mjini hapa jana na vyama sita...
View ArticleRais Magufuli AMFUKUZA Kazi Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Kwa Utovu wa Nidhamu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi na kumfukuza kazi Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Bw. Faisal Issa kutokana na utovu mkubwa wa nidhamu aliouonesha...
View ArticleUKAWA washinda kiti ca Umeya Kinondoni, Dar es Salaam
Vyama vinavyounda UKAWA vimeibuka na ushindi katika uchaguzi wa Umeya wa Manispaa ya Kinondoni baada ya kupata kura 38 dhidi ya CCM waliopata kura 20. Meya mpya ni Boniface Jacob . Manispaa ya Ilala...
View ArticleDr. Mahiga bids farewell to Two African Ambassadors
Minister of Foreign Affairs, East Africa, Regional and International Cooperation, Hon. Dr. Augustine Mahiga (R) is in the conversation with the Namibian Ambassador to Tanzania, H.E Japhet Isaack whose...
View ArticleThe Drone Takedown: Battelle’s DroneDefender
Battelle introduces a new aid in the defense against rogue drones. Drones quickly become an invention which seemed good in theory, but is now annoying in practice. While most people are happy flying...
View ArticleHow to Make a Robot – Lesson 1: Getting Started
Getting Started Welcome to the first installment of the Grand RobotShop Tutorial, a series of 10 lessons that will teach you how to make your own robot. This tutorial is aimed at anybody willing to...
View ArticleHow to Make a Robot – Lesson 3: Making Sense of Actuators
Making Sense of Actuators Now that we learned about robotics in general in Lesson 1 and decided on the robot to make in Lesson 2, we will now choose the actuators that will make the robot move. What...
View ArticleHow to Make a Robot – Lesson 4: Understanding Microcontrollers
What is a microcontroller? You might be asking yourself what is a microcontroller and what does it do? A microcontroller is a computing device capable of executing a program (i.e. a sequence of...
View ArticleHow to Make a Robot – Lesson 8: Getting the Right Tools
At this stage, you should have all the main components for your robot including actuators, motor controllers, a microcontroller, sensors, and communication systems. Image credit: zatalian You are now...
View ArticleBaada ya kutolewa Mapinduzi Cup, Simba yafanikiwa kulipiza kisasi kwa Mtibwa...
Baada ya wekundu wa msimbazi Simba kutolewa katika hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi na Mtibwa Sugar ya Manungu Morogoro . January 16 katika mchezo wa Ligi Kuu walikutana...
View ArticleRais wa Iran apongeza kuondolewa kwa vikwazo
Javad Zarrif Rais wa Iran, Hassan Rouhani, amepongeza kutekelezwa kwa mkataba uliosaniwa kuhusiana na mpango wake wa Nuklia. Rais Rouhani amesema kuondolewa kwa vikwazo ambavyo havikustahili dhidi ya...
View ArticleIsrael yachukizwa na kuondolewa kwa vikwazo
Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, amesema Iran ingali na azma ya kuunda zana za Nuklia na mjini Washington spika wa Paul Ryan wa chama cha Republican, amesema Taifa la Iran...
View ArticleWatu weusi waachwa nje tuzo za Oscars
Filamu ya The Revenant inaongoza kwa kushindania tuzo vitengo vingi Waigizaji na waelekezi wa filamu watakaopigania tuzo kuu za sanaa duniani za Oscar wametangazwa na kwa mwaka wa pili hakuna watu...
View ArticleKanisa lenye umbo la kiatu lajengwa Taiwan
Kanisa la kiatu Kanisa la urefu wa mita 16 lililojengwa kwa kutumia vigae vya glasi linalofanana na viatu vyenye visigino virefu vinavyopendwa sana na wanawake limejengwa huko Taiwan kwa lengo la...
View ArticleBurkina Faso: zoezi la kuwatambua wahanga laendelea
Polisi wa Ufaransa wanachunguza gari lililochomwa moto mbele ya hoteli ya Splendid katika mji wa Ouagadougou, Burkina Faso, Januari 17, 2016. Na RFI Baada ya mashambulizi dhidi ya hotli ya Splendid na...
View ArticlePolisi wapatiwa mafunzo maalum ya usalama barabarani
Mtaalamu wa Matairi kutoka Kampuni ya TBL Group, Peter Muthee, akiwalezea Maofisa wakaguzi wa Jeshi la Polisi Kikosi Usalama Barabarani jinsi ya kutambua matairi yaliyo na athari za kiusalama...
View ArticleMwalimu Apigwa Risasi Kichwani Kwa Kosa La Kujisaidia Haja Ndogo
POLISI wilayani Igunga mkoani Tabora inamshikilia mfanyabiashara kwa tuhuma za kumjeruhi kwa bastola mwalimu wa Shule ya Msingi Saint Leo. Akizungumza na waandishi wa habari mwishoni mwa wiki, Kamanda...
View ArticleTanzia: Mwandishi wa ‘Ngoswe, Penzi Kitovu cha Uzembe’ afariki
Mwandishi maarufu wa tamthilia na kitabu cha ‘Ngoswe, Penzi Kitovu cha Uzembe’, Edwin Semzaba amefariki jana . Mbali na kuwa mwandishi maarufu, Semzaba alikuwa mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Dar es...
View ArticleWaziri Kitwanga Atangaza vita ya Bodaboda
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga amesema katika kuhakikisha Serikali inapambana na uhalifu, Jeshi la Polisi limeanza ukaguzi maalumu wa bodaboda na kufunga kamera za CCTV katika miji...
View Article