12V Touch Switch Exciter
This circuit is designed to generate a 20KHz pseudo sine wave signal that can power about 50 remote touch activated switch circuits. It can support a cable length of about 2500 feet. A typical...
View ArticleAjali ya Basi Yaua Watu Watano…..Chanzo cha Ajali ni Dereva Kusinzia
Watu watano wamekufa na wengine 39 kujeruhiwa vibaya baada ya basi walilokuwa wakisafiria la kampuni ya Metro kuacha njia na kupinduka katika eneo la Manga, mpakani mwa mikoa ya Tanga na Pwani, chanzo...
View ArticleTundu Lissu Ajibu Mapigo…….Asema Mwenye Richmond ni Rais Kikwete Mwenyewe
Siku moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kumtaka Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu amtaje mhusika wa Richmond anayezunguka naye kwenye kampeni, Mbunge huyo wa Singida Mashariki ameibuka na kudai...
View ArticleMitambo ya Kuzalisha Umeme wa gesi Yawashwa…..Tatizo la Umeme Kukatika Kuisha...
Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema kazi ya kuunganisha mabomba ya gesi kutoka Kinyelezi I kwenda katika mitambo ya Ubungo I na II, jijini Dar es Salaam imekamilika. Aidha, kazi ya kuwasha...
View ArticleNigeria yapambana na ufisadi serikalini
Hatua ya akaunti moja inalenga kupambana na vitendo vya udanganyifu Muda uliotolewa kwa wizara za Serikali ya Nigeria kuhakikisha kuwa michakato ya huduma za kibenki zinafanyika kupitia akaunti moja...
View ArticleWaziri wa fedha , Bi Saada Mkuya azindua kampeni ya kugombea Ubunge jimbo la...
Mgombea ubunge jimbo la Welezo, Waziri wa Fedha , Bi Saada mkuya akimwaga sera katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni jimboni. mkutana ulifanyika jana uwanja wa Kimara Meza kuu ikimsikiliza kwa...
View ArticleJK Kueleza Umoja wa Mataifa Maendeleo ya Kazi ya Jopo Analiliongoza.
Mwenyekiti wa Jopo la Ngazi ya Juu kuhusu Mwitikio wa Kimataifa wa Majanga ya Kiafya, Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete anatarajiwa Ijumaa wiki hii kuwasilisha mbele ya wajumbe wa nchi wanachama wa...
View ArticleMgombea mwenza CCM asema ni Mwiko Serikali Kuwakopa Wakulima wa Korosho
Mgombea wa ubunge Jimbo la Mtama na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye akizungumza na wapiga kura wake katika mkutano wa kampeni za mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia...
View ArticleMakamu wa Rais Aadhimisha Kilele cha Siku ya (MARA DAY) Butiama Mkoani Mara.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasha Mshumaa katika Kaburi ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kama ishara ya Kumbukumbu wakati...
View ArticleBaraza Kuu la 69 la Umoja wa Mataifa Lamaliza Mikutano yake kwa Kishindo.
Rais wa Baraza Kuu la 69 la Umoja wa Mataifa, Bw. Sam Kutesa akigonga nyundo maalum kuashiria kukamilika kwa Mikutano ya Baraza hilo ambalo ameliongoza kwa mwaka mzima. Kushoto kwake ni Katibu Mkuu...
View ArticleBaraza la Habari Tanzania (MCT) na Shirika la Utangazaji la BBC, Latao...
Waandishi wa Habari Kisiwani Pemba wapata mafunzo ya kuripoti habari za Uchaguzi kupitia Mahojiano na Viongozi wa Vyama vya Siasa na Wananchi, wakati wa kuripoti habari za Uchaguzi Mkuu Zanzibar...
View ArticleViongozi wa kampuni ya Ndege ya Fastjet watembelea Mamlaka ya Viwanja vya...
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Mhandisi Suleiman S. Suleiman (katikati) akipokea zawadi ya sanamu ya ndege toka kwa Meneja Mkuu wa kampuni ya Ndege ya Fastjet Afrika...
View ArticleBurkina Faso: Rais na waziri mkuu washikiliwa na jeshi
Rais wa Burkina Faso Michel Kafando (kushoto) Na Luteni Kanali Isaac Zida, katika sherehe ya kupeana madaraka, Novemba 2014, Ouagadougou. Na RFI Wanajeshi kutoka kikosi cha usalam wa Rais...
View ArticleJK amemteua Profesa Muhammed Bakari Kambi kuwa Mganga Mkuu wa Serikali.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Muhammed Bakari Kambi kuwa Mganga Mkuu wa Serikali Taarifa iliyotolewa, Jumatatu, Septemba 14, 2015 na Katibu...
View ArticleWanafunzi wanufaika na mradi wa kompyuta mashuleni
Wanafunzi wa kidato cha pili wa shule ya sekondari ya Mtakuja iliyopo Kunduchi Mbezi beach jijini Dar es Salaam,wakimsikiliza mwalimu wao wa masomo ya Sayansi Elibariki John,akiwafundisha somo hilo...
View ArticleDigital fuels growth in Africa’s entertainment and media industry: PwC report
“The line between traditional media and digital media is blurred – consumers want more flexibility and freedom in how they consume content.” After more than a decade of digital disruption, the African...
View ArticleChile yatangaza hali ya dharula
Watu takriban milioni moja wamelazimika kuhama makazi yao ChileSerikali ya Chile imetangaza hali ya dharula katika mji uliokumbwa na tetemeko lenye nguvu watu milioni moja walitakiwa kuacha makazi yao...
View ArticleMke wa LOWASSA Aondolewa Mkutanoni Simiyu
MGOGORO wa vyama viwili vya siasa CUF na CHADEMA ambavyo vinaunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), katika Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu, juzi ulichukua sura mpya. Hali hiyo inatokana na...
View ArticleViongozi Wakuu wa NCCR – Mageuzi Watoa Tamko, Waikosoa UKAWA
Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari: Ushiriki Wa Vyama Vya Nccr – Mageuzi, Nld, Cuf Na Chadema Katika Ukawa. UTANGULIZI Sisi viongozi wa ngazi ya juu wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Makamu Mwenyekiti, Katibu...
View ArticleMlinda sheria anapogeuka kuwa mvunja sheria
BADO wapo baadhi ya wasimamizi wa sheria ndani ya Jeshi la Polisi, wamekuwa na kigugumizi kutii sheria bila ya shuruti, ambapo askari trafik kisiwani Pemba, akiwa amepanda vespa yenye namba za usajili...
View Article