Quantcast
Channel: AutomobileHeat » css
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1303

Waziri wa fedha , Bi Saada Mkuya azindua kampeni ya kugombea Ubunge jimbo la Welezo

$
0
0

Mgombea ubunge jimbo la Welezo,   Waziri wa Fedha , Bi Saada mkuya akimwaga sera katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni jimboni. mkutana ulifanyika jana uwanja wa Kimara  Meza kuu ikimsikiliza kwa makini mgombea Ubunge wa jimbo la Weleze Bi Saada Mkuya(hayupo pichani) akijinadi na kumwaga sera. Mkutano huu pia ulihudhuriwa  na mgombea uwakilishi wa jimbo hilo la Welezo, Hassan Hafidh (wa pili kulia waliokaa)   Wanachama na wapenzi wa CCM kutoka jimbo la Welezo waliohudhuria uzinduzi wa Kampeni ya jimbo la Welezo jana huko Uwanja wa Kimara wakimsikiliza kwa makini mgombea ubunge wa jimbo hilo Bi Saada Mkuya Salum  Wanachama na wapenzi wa CCM kutoka jimbo la Welezo waliohudhuria uzinduzi wa Kampeni ya jimbo la Welezo jana huko Uwanja wa Kimara. T imu ya kampeni ya mgombea Ubunge wa jimbo la Welezo Waziri wa Fedha , Bi Saada Mkuya Salum, akimwaga sera katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni jimboni. Mkutano ulifanyika jana uwanja wa Kimara

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1303

Trending Articles