Lowassa Atakiwa Kuvisaidia Vyombo Vya Dola Kukabiliana na Tishio La Kundi la...
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mohamed Aboud Mohamed amemtaka Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kutoa taarifa za kuwapo kwa tishio la kundi la al Qaeda kuingia nchini...
View ArticleKesi Ya Kamanda Godfrey Nzowa Dhidi Ya Kamanda Suleiman Kova Kuunguruma Leo
Kesi ya maofisa wawili waandamizi wa polisi kutaka kuuziwa nyumba ya Serikali inaanza kunguruma leo katika kikao cha Mahakama ya Rufaa mjini Arusha. Wanaopambana katika kesi hiyo ni Mkuu wa Kikosi cha...
View ArticleProfesa Muhongo: Sijawahi Kupokea Rushwa wala 10% Ya Mwekezaji
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amesema hajawahi kupokea rushwa kwa mtu yeyote wala asilimia 10 ya wawekezaji wa miradi mbalimbali ya umeme nchini. Aidha, ametaka kuachwa...
View ArticleShahidi : Nilimsikia Kubenea akimwambia DC Paul Makonda ni kibaka,mjinga,...
Mratibu Msaidizi wa Jeshi la Polisi, ASP Denis Mujumba, 39 ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa akiwa Mkuu wa Upelelezi Magomeni alimsikia Mbunge wa Jimbo la Ubungo Saed Kubenea akimwambia...
View ArticleWanafunzi 21 Wafukuzwa Shule Kwa Muda Usiojulikana…….Kosa Lao Ni Kuvaa...
Wanafunzi wapatao 21 wanaosoma Shule ya Msingi Kilambo cha Mkolechi, Kata ya Kala mwambao mwa Ziwa Tanganyika wilayani Nkasi, wamefukuzwa shule kwa muda usiojulikana kwa kuvaa viatu maarufu yeboyebo....
View ArticleJeshi La Polisi Zanzibar Lasema Halitambui Uwepo Wa Mazombi……. Lapiga...
Jeshi la Polisi Zanzibar limewataka madaktari kuacha kuwahudumia watu wanaokwenda hospitali baada ya kupigwa na kikundi cha watu wasiojulikana cha mazombi bila ya kuwa na fomu ya matibabu (PF3)....
View ArticleRaia wa Kigeni Waushika Uchumi wa Tanzania……Ni 10% Tu Ya Watanzania...
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amesema serikali ya awamu ya tano inafanya kila juhudi kuhakikisha uchumi wake unamilikiwa na wananchi, nia ikiwa ni kuifanya nchi kuwa na uchumi wa kati. Majaliwa...
View ArticleBandarini Hapakaliki…….TRA Yatangaza Kuwafilisi Wateja 24 Kwa Kutorosha...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeikabidhi Kampuni ya Udalali ya Yono kuwafilisi wateja 24 wanaodaiwa kodi ya Sh bilioni 18.95 baada ya kutorosha makontena ya mizigo yao kwenye Bandari Kavu (ICD)...
View ArticleWatu 6 Wajeruhiwa Baada Ya Kontena Kuangukia Magari Matatu
Watu sita wamejeruhiwa jana baada ya Lori la Mizigo lenye namba za usalili T 493 DBR lililobeba kontena kuacha njia na kugonga magari matatu kisha kontena kudondoka katikati ya barabara ya Mandela na...
View ArticleMagazeti Ya Leo Alhamisi Ya Februari 11
[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleWaziri Fabius ajiuzulu
Waziri wa mambo ya nje wa Ufaransa Laurent Fabius amejiuzulu wadhifa huo . Bwana Fabius ambae pia aliwahi kuwa Waziri Mkuu ameteuliwa kuwa Rais wa Baraza la Katiba la Ufaransa. Waziri wa mambo ya nje...
View ArticleRwanda lawamani juu ya Burundi
Rais Pierre Nkurunziza Maafisa wa Wizara ya mambo ya nje ya Marekani wamesema wameona ushahidi kuwa serikali ya Rwanda imekua ikijihusisha matukio ya machafuko katika nchi jirani ya Burundi. Inaelezwa...
View ArticleWatu zaidi ya 56 wafariki Nigeria
Maafisa wa magharibi mwa Nigeria wanasema watu zaidi ya hamsini wameuwawa katika shambulio lililotokea katika kambi ya watu waliokimbia makazi yao katika jimbo la Borno.Wanawake wawili walirusha bomu...
View ArticleRoboti inayoiga Mende
Roboti inayoiga Mende Wanasayansi nchini Marekani wametengeneza roboti inayofanana na mende ambayo inaweza kutumiwa kuwaokoa watu kunapotokea tetemeko la ardhi. Watafiti wanasema roboti hiyo inatumia...
View ArticleNdege yenye shimo: Maswali 5 bila majibu
Ndege moja ya abiria ililazimika kutua kwa dharura katika uwanja wa ndege wa Mogadishu ikiwa na shimo ubavuni mwake Ndege moja ya abiria ililazimika kutua kwa dharura baada ya bomu kulipuka...
View ArticleUtafiti:Farasi hubaini hisia za mwanadamu
farasi Farasi huweza kubaini kati ya mtu aliye na furaha na aliye kasirika kwa kuangalia uso wa mwanadumu,utafiti umesema. Katika jaribio, kwa kutumia picha za mwanamume wanasayansi kutoka chuo kikuu...
View ArticleAbiria wanusurika kuzama baharini baada ya Pantoni kuzima ghafla Dar
Taarifa zilizo make headline muda huu ni pamoja na hii ya Pantoni kuzima ghafla Dar na kulazimika abiria wajitose baharini kuokoa maisha yao, hadi sasa haijafahamika athari iliyopatikana. Endelea...
View ArticleProfesa Maghembe Amng’oa Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Kilimanjaro (Kinapa),...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe amemuondoa Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Kilimanjaro (Kinapa), Erastus Lufungulo na kutoa maagizo mazito kwa kampuni za wazawa. Maghembe...
View ArticleMoto Waua Askari Polisi Na Mpenzi Wake
ASKARI wa kike wa Usalama Barabarani, Attuganile Mwakibete (37) na mpenzi wake Sunday Mhagama (36), wameteketea kwa moto baada ya nyumba walimokuwa ndani kuungua. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa,...
View ArticleMagazeti Ya Leo Ijumaa Ya Februari 12
[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View Article