Taarifa zilizo make headline muda huu ni pamoja na hii ya Pantoni kuzima ghafla Dar na kulazimika abiria wajitose baharini kuokoa maisha yao, hadi sasa haijafahamika athari iliyopatikana. Endelea kukaa karibu nasi ili zote zitakazonifikia iwe rahisi kukusogezea. Na hizi ni picha za mwanzo..! .
[via LEKULE]
Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat