The New Rolls-Royce Dawn!
A striking, seductive encounter Dawn is a Rolls-Royce that feels completely at home on the Route Napoleon. It is a contemporary homage to a life on the Cte dAzur. The car is a contemporary take on the...
View ArticleBarua ya wazi kwa Rais Dr. John Pombe Magufuli kutoka kwa mdau wa Usalama...
Ndugu Rais wa Jamhuri ya Muungano, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, nachukua fursa hii kukupongeza kwa kuchaguliwa kuliongoza taifa letu la Tanzania kama Rais wa awamu ya tano. Nianze barua...
View ArticleKatibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo afanya ziara...
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel(aliyekaa mwenye miwani) akipata maelekezo jinsi gazeti linavyotengenezwa kutoka kwa mtumishi wa Standard News Papers...
View ArticleCCM Yazoa Viti Maalum Vya Udiwani 1021……Wapinzani 371
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), imetangaza idadi ya viti maalum kwa nafasi ya udiwani kwa kila chama. Chini ya mgawo huo, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeongoza kwa kupata viti 1,021 na upinzani...
View ArticlePiezoelectricity
In 1880, Jacques and Pierre Curie discovered an unusual characteristic of certain crystalline minerals: when subjected to a mechanical force, the crystals became electrically polarized. Tension and...
View ArticleBAVICHA Yawataka Wabunge wa UKAWA Kupigania Katiba Mpya
Wabunge wapya kutoka Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wanaotarajia kuingia Bungeni wiki ijayo wametakiwa kupigania kupatikana kwa katiba mpya itakayowezesha kupatikana kwa tume huru ya taifa ya...
View ArticleKortini kwa mauaji ya polisi na raia Stakishari
Idadi ya washtakiwa waliofikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka saba ya mauaji ya maofisa wanne wa polisi na raia watatu katika kituo cha jeshi hilo cha Stakishari, imeongezeka hadi...
View ArticleLowassa Kuongea na Watanzania Leo jijini i Arusha
Aliyekuwa mgombea wa urais wa Chadema, Edward Lowassa anatarajia kuhutubia mkutano wa kumnadi mgombea wa ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema na kuwashukuru Watanzania kwa kura walizompa...
View ArticleMaalim Seif azugumza na Balozi wa EU na viongozi wa UKAWA….Atoa Msimamo Mzito
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amerejea kauli yake ya kutotambua kufutwa kwa uchaguzi mkuu wa Zanzibar uliofanyika tarehe 25 mwezi uliopita. Akizungumza na...
View ArticleHaya ndio maamuzi mapya ya mahakama kuhusu katibu mkuu wa zamani wa Simba
Baada ya kusota rumande kwa zaidi ya miaka mitatu hatimaye Mwenyekiti wa Chama cha Soka Pwani (Corefa), Hassani Othman maarufu kama Hasanoo ameachiwa huru kwa dhamana katika Mahakama ya Kisutu....
View ArticleAnne Makinda Aukimbia Uspika…..Aingia Mitini Dakika za Mwisho Licha ya...
Aliyekuwa Spika wa Bunge la Kumi, Anne Makinda ameamua kukaa kando ya mbio za Uspika wa Bunge la 11, siku chache baada ya kufanya kampeni kuwania nafasi hiyo kwa mara nyingine. Taarifa za kuaminika...
View ArticleITAZAME NEW VIDEO: Joh Makini Ft AKA – Don’t Bother
[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleZaidi ya watu 120 wameuwa baada ya tukio la kuvamiwa kwa jiji la Paris na...
Vikosi vya uokoaji wakiendelea na kutoa huduma wakati wa tukio hilo usiku wa kuamkia leoo katika jiji la Paris, nchini Ufaransa. [PARIS] Watu zaidi ya 120 wameuwa na watu wanaodhaniwa kuwa magaidi...
View ArticleDk Hellen Kijo-Bisimba Kupelekwa India kwa Matibabu
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk Hellen Kijo-Bisimba anatarajia kusafirishwa kwenda nchini India kwa ajili ya matibabu zaidi. Novemba 7, mwaka huu Dk Bisimba...
View ArticleDr Magufuli Aifumua Ikulu…..Aipanga upya Kwa kupunguza Ofisi na Watendaji
Rais John Magufuli amezifumua na kuziunda upya baadhi ya ofisi za Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam pamoja na kuwaondoa baadhi ya watumishi ambao hawana ulazima katika mfumo wa utumishi wa Ikulu....
View ArticleLOWASSA Atoa Kauli Kuhusu Mauaji ya Mwenyekiti wa Chadema Geita Aliyeuawa Kwa...
Katika Ukurasa Wake wa Facebook Lowassa ameandika Haya Kuhusu Kifo cha Mwenyekiti wa Chademe Mkoani Geita: “Nimeshtushwa na kusikitishwa na taarifa za msiba wa kijana wetu Alphonce Mawazo, Natoa pole...
View ArticleUchaguzi Mkuu Zanzibar Wavunja Ndoa 4
Athari za uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, zimeanza kujitokeza Zanzibar ambapo jumla ya wanawake wanane wamepoteza ndoa zao baada ya kulazimishwa kupiga kura kinyume na matakwa yao, kinyume na demokrasia...
View ArticleHalmashauri Zakumbushwa Shule Kuachana na Michango
HALMASHAURI za jiji la Dar es Salaam zimetakiwa kutenga fungu ili kusaidia kupunguza michango mashuleni na kuendana na agizo lililotolewa na rais kuhusu elimu kutolewa bure kuanzia mwaka 2016....
View ArticleManufaa mengi ya mende kwa binadamu
Mende wana manufaa mengi sana kwa binadamu Mende huchukiwa sana na watu na huhusishwa na uchafu na maradhi. Lakini wajua kwamba wadudu hawa wana manufaa makubwa sana kwa binadamu? Mjini Havana, nchini...
View ArticleMtoto akataa kumpigia kura mama yake
Jagadamma alikuwa akiwania udiwani kupitia chama tawala cha BJP Mwanamume mmoja nchini India ameshangaza wengi baada ya kukataa kumpigia kura mamake uchaguzini. Mwanamke huyo Jagadamma Kumar alikuwa...
View Article