Msaada: Mtoto apotea na house-girl
Picha ya hivi karibuni ya mtoto Loveness C. Jullu Familia ya Jullu ya Wazo Hill kwa Msabaha jijini Dar es Salaam inaomba msaada kutoka kwa raia wema ili kufanikisha kumpata mtoto wao Loveness Coletha...
View ArticlePart 4, Save and Compile Project CLICK PLCs by Koyo, from AutomationDirect
[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleSheikh Mkuu amethibitisha Watanzania kufariki Saudi Arabia…RIP
September 24 2015 imeripotiwa Taarifa kuhusu watu zaidi ya 700 kufariki kwenye Msikiti Mkuu wa Hijja ambao uko Mecca, Saudi Arabia. Taarifa imetolewa na Mufti Mkuu wa Tanzania aliyeko huko Sheikh...
View ArticleRais Kikwete Azungumzia Kauli za Magufuli Kuikosoa Serikali Yake…..Asema ni...
RAIS Jakaya Kikwete, amesema hamshangai mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.John Magufuli kwa kukosoa utendaji kazi wa Serikali yake katika mikutano yake ya kampeni inayoendelea. Rais...
View ArticleKauli ya UKAWA Kususia Uchaguzi Yaishtua NEC.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), imeshtushwa na kauli iliyotolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, kwamba watasusia uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Hata...
View ArticleVyombo vya dola kinara uvunjifu wa haki za binadamu-LHRC
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema asilimia 60 ya uvunjifu wa haki za binadamu nchini unafanywa na vyombo vya dola huku asilimia 40 ukifanywa na wananchi wa kawaida. Mkurugenzi...
View ArticleWahadhiri UDOM kugoma, wadai mishahara
WAHADHIRI takriban 800 waliopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wameazimia kutoingia madarasani kufundisha kuanzia Novemba 2 mwaka huu mpaka hapo serikali itakaposhughulikia suala la muundo mpya wa...
View ArticleMgombea Chadema atiwa mbaroni Dodoma Akituhumiwa Kumpiga Chupa Polisi
JESHI la polisi mkoa wa Dodoma linamshikilia Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chadema, Benson Kigaila pamoja na wenzake kumi ambao ni wafuasi wa chama hicho. Kauli hiyo ya kukamatwa kwa wafuasi hao...
View ArticleNay wa Mitego Amvaa January Makamba Kuitetea UKAWA
Msanii wa bongo fleva, Nay wa Mitego amemvaa mjumbe wa kamati ya Kampeni ya CCM,January Makamba na kudai yeye ni mnunuaji mkuu wa tafiti na wasanii kwa lengo la kukisaidia...
View ArticleMagufuli awasha moto Shinyanga
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Shinyanga mjini waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Kambarage ambapo...
View ArticleLowassa alipotinga jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akipokelewa na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...
View ArticleJK katika mkutano wa 70 wa Umoja wa Mataifa Jijini New York, MAREKANI
Rais Kikwete akiwa na Rais Filipe Jacinto Nyusi wa Mzumbiji na mawaziri wao wa nchi za nje katika mkutano huo mjini New York. Rais Kikwete akiwa na Waziri Mkuu wa Denmark Mhe. Lars Loekke Rasmussen...
View ArticleSkylight yaendelea kukonga nyoyo mashabiki wake ndani ya Escape One Mikocheni...
Wanaume wa shoka wakilisakata rhumba wakati wa kuwafurahisha mashabiki wa bendi ya Skylight wakati wa mkesha wa eid Mwimbaji wa bendi ya Skylght Natasha akiwa anawapa mashabiki vionjo vya nyimbo za...
View ArticleWakazi wa Dar waridhishwa na utendaji wa Waziri Lukuvi katika kutatua...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake waliotaka kujua jinsi alivyoshughulikia migogoro ya Ardhi nchini. Waziri wa Ardhi,...
View ArticleUboreshaji wa usalama barabarani kwa usafirishaji wa masafa marefu
Fuso ikipita Njiani kwenye Maonyesho ya “NDIO Fuso ni Faida” jijini Dar, Maonyesho hayo yanatarijiwa kupita kwenye Mikoa kama Tanga – Moshi- Arusha- Mwanza –Shinyanga -Kahama- Dodoma – Iringa –...
View ArticleMagufuli Awataja LIVE WanaCCM Wanaomsaliti Huku Wakimsanifu Kuwa Wanamuunga...
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, jana aligeuka mbogo baada ya kuamua kuwataja hadharani watu wanaohujumu kampeni zake kwa kujifanya mchana wako pamoja na usiku...
View ArticleMkutano wa Kampeni wa CUF Micheweni
Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akihutubia katika mkutano wa hadhara wa Chama hicho uliofanyika viwanja vya skuli ya Micheweni. Wafuasi na wapenzi wa CUF wakimsikiliza mgombea...
View ArticleMkutano wa Kampeni za CCM Mkokotoni leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein akizungumza na WanaCCM na Wananchi na Wapenda amani katika Wilaya ya Kaskazini A Jimbo...
View ArticleDStv YAJA NA CHANELI YA MAISHA MAGIC BONGO, KWA AJILI YA WATANZANIA
Mkurugenzi M-Net Kanda ya Afrika Magharibi, Wangi Mba-Uzoukwu akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kutoka nchi za Afrika waliokusanyika kwenye jukwaa kubwa la kuonesha vitu...
View ArticleTechnology gap gives foreign firms the edge in China robot wars
BY GERRY SHIH for Reuters: In a cavernous showroom on the outskirts of this port city in northeastern China, softly whirring lathes and svelte robot arms represent Dalian Machine Tools Group’s (DMTG)...
View Article