Quantcast
Channel: AutomobileHeat » css
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1303

Lowassa Apata Mapokezi Makabuwa Dakawa Wakati Akiwa Njiani Kuelekea Dodoma

$
0
0

Aliyekuwa mgombea Urais  katika uchaguzi wa Oktoba mwaka jana kwa tiketi  ya  UKAWA, Edward Lowassa jana alipata mapokezi makubwa kwa wakazi wa mnada wa Dakawa baada ya kusimama  na  kuwasalimia. Lowassa alikuwa safarini  kuelekea Mkoani Dodoma kwa ajili ya mafunzo  ya  wabunge wa UKAWA.  

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1303

Trending Articles