Quantcast
Channel: AutomobileHeat » css
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1303

Uteuzi anaofanya Rais Magufuli umemfikia mpaka mstaafu JK leo.

$
0
0

Alhamisi  January 21 2016  ni siku nyingine ambayo  Rais Magufuli  kaendelea na moja ya majukumu yake kama Rais wa nchi, jukumu la leo ni kwamba kaendelea na uteuzi wa viongozi kwenye nafasi mbalimbali, uteuzi wa leo imelirudisha pia jina la Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mzee  Jakaya Mrisho Kikwete . Rais Magufuli   amemteua Rais Mstaafu  Jakaya Kikwete   kuwa Mkuu wa  Chuo Kikuu Dar es Salaam UDSM . Rais Mstaafu  JK   ameteuliwa kushika nafasi hiyo ambayo ilikuwa wazi baada ya kufariki kwa Balozi  Fulgence Kazaura  aliyefariki February 2015.

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1303

Trending Articles