Quantcast
Channel: AutomobileHeat » css
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1303

Ratiba ya mechi za Ligi Kuu Tanzania bara, Uingereza na Hispania October 17 na 18

$
0
0

Baada ya mapumziko ya Ligi mbalimbali duniani ili kupisha mechi za kalenda ya  FIFA kumalizika, weekend hii Ligi Kuu mbalimbali zinaendelea kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja tofauti tofauti, huenda ukawa unataka kufahamu mechi za weekend hii zitakazochezwa za Ligi Kuu  Tanzania  Bara,  Uingereza  na Ligi Kuu  Hispania  hii ndio ratiba ya mechi za weekend hii. Ligi Kuu  Tanzania  bara mechi za October 17 na 18 Mechi zote za Ligi Kuu Tanzania bara zitachezwa saa 16:00 kwa saa za Afrika Mashariki Mechi za Ligi Kuu  Uingereza  weekend ya October 17 na 18 Ratiba ya mechi za Ligi Kuu  Uingereza  kwa saa za  Afrika  Mashariki Tottenham  Vs  Liverpool saa 14:45 Chelsea  Vs  Aston Villa saa 17:00 Crystal Palace  Vs  West Ham saa 17:00 Everton  Vs  Man United saa 17:00 Man City  Vs  Bournemouth saa 17:00 Southampton  Vs  Leicester City saa 17:00 West Brom  Vs  Sunderland saa 17:00 Watford  Vs  Arsenal saa 19:30 Jumapili ya October 18 Newcastle  Vs  Norwich saa 18:00 Ratiba ya mechi za Ligi Kuu  Hispania Ratiba za mechi za  Hispania  kwa saa za  Afrika  Mashariki Real Madrid  Vs   Levante saa 17:00 Eibar  Vs   Sevilla saa 19:15 Barcelona  Vs   Rayo Vallecano saa 21:30 Valencia  Vs   Málaga saa 23:00 Real Betis  Vs   Espanyol saa 23:05 Mechi za Jumapili ya October 18 Villarreal  Vs   Celta de Vigo saa 13:00 Real Sociedad  Vs   Atl Madrid saa 17:00 Getafe  Vs   Las Palmas saa 19:15 Deportivo de La Coruña  Vs   Ath Bilbao saa 21:30

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1303

Trending Articles