Having Survived the Hottest July Ever (Thanks, Natural Cooling!)
July 2015 was the hottest July ever since meteorological data had been recorded in Austria ( since 248 years ). We had more than 38°C ambient air temperature at some days; so finally a chance to...
View ArticleHofu yatanda, silaha za kivita kukamatwa
Silaha zilizokamatwa zikioneshwa kwa wandishi wa habari. Na Timu ya Uwazi, Mkuranga H OFU kubwa imetanda kwenye Kijiji cha Mamndi Mkongo kilichopo Wilaya ya Mkuranga, mkoani Pwani kufuatia Jeshi la...
View ArticleMirathi nusura imtoe roho!
Masanga Said Bori, anayevuja damu. Boniphace Ngumije na Mayasa Mariwata B ALAA! Mkazi wa Mtaa wa Manyoni, Ilala jijini Dar aliyejulikana kwa jina la Masanga Said Bori (pichani), Jumamosi iliyopita...
View ArticleMagufuli mtegoni….Wananchi Wampokea Kwa Mabango Wakimtaka Amnyang’anye Shamba...
Mgombea urais kwa tiketi ya CCM,Dk. John Magufuli jana alikumbana na mtihani wa kwanza wa wananchi baada ya kupokewa na mabango yenye ujumbe mbalimbali. Miongoni mwa mabango hayo ni lile lililokuwa...
View ArticleTUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Nao Wamuonya Lowassa Kwa Kauli ya Kibaguzi...
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kitendo kilichofanywa na mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa cha kuomba kura kwa kuwataka waumini wa madhehebu ya Kilutheri kumchagua yeye, kamwe...
View ArticleWatahiniwa darasa la saba zaidi ya 700,000 kuanza mitihani leo
Dar es Salaam. Wanafunzi 775,729 walioandikishwa kufanya mtihani wa darasa la saba nchini, kesho wanaanza kufanya mtihani huo, huku idadi ya watahiniwa ikipungua ukilinganisha na walioandikishwa mwaka...
View ArticleBen Pol: Sijajua bado nimshabikie nani kisiasa
Mwimbaji wa r&b nchini Ben Pol Dar es Salaam. Tofauti na wasanii wengine ambao tayari wamejipambanua kisiasa, mwimbaji wa r&b nchini Ben Pol ana fikra tofauti na wenzake wengi, baada ya kuweka...
View ArticleBi. Samia Suluhu Ahaidi Umeme Kila Kijiji Ruvuma, Viwanda vya Mahindi, Kahawa
Mgombea mwenza wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu (katikati) akimnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini, Martin Mtonda (kushoto) na mgombea udiwani wa CCM....
View ArticleMagufuli ahidi kufufua viwanda mkoani Tanga, kuongeza ajira kwa vijana
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akifafanua jambo mbele ya maelfu ya wakazi wa jiji la Tanga waliojitokeza kwenye...
View ArticleMaonesho ya bidhaa toka China (Brands of China) kurindima Sept 10 hadi 13...
Mkurugenzi wa Tanzania Chamber of Commerce, Industry and Agriculture (TCCIA), Daniel Machemba akizungumza na wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa maonesho ya bidhaa toka China...
View ArticleHuduma ya Tigo Pesa kusitishwa kwaajili ya uboreshaji
Kampuni ya simu ya Tigo Tanzania itasitisha huduma zake maarufu za kutuma na kupokea fedha ya Tigo Pesa wikendi hii kwa muda wa saa 17 ili kufanya maboresho ya huduma hiyo. Taarifa iliyotumwa kwa...
View ArticleBASATA ladai adhabu kwa Shilole ipo pale pale, yadai inakusanya ushahidi...
Shilole anaweza akawa anafurahia bata za Marekani baada ya kutumbuiza kwenye show nchini humo, lakini bado BASATA haijamalizana naye. Katibu Mtendaji wa baraza la sanaa la taifa, BASATA, Geofrey...
View ArticleDiamond atajwa kuwania tuzo za MTV Europe Music Awards 2015 (MTV EMA)
Diamond Platnumz kwa mara nyingine amepata nafasi ya kuiwakilisha Tanzania kwenye tuzo kubwa za kimataifaa. Ametangazwa kuwania tuzo za MTV Europe Music Awards 2015 (MTV EMA) katika kipengele cha...
View ArticleNauli ya Mabasi ya Mwendo Kasi Dar Ni Sh. 900.
Ukali zaidi wa maisha kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam unakuja kutokana na viwango vipya vya nauli za magari yaendayo haraka kuwa kati ya Sh. 500 hadi 900 kwa safari moja kwa mtu mzima. Aidha,...
View ArticleMrema: Chadema mbona mnanishambulia, tatizo ni uzee wangu?.
Mwenyekiti Taifa wa chama cha Tanzania Labour Party TLP, na mgombea Ubunge jimbo la Vunjo Augustino Mrema, amelalamikia kuwa anafanyiwa siasa chafu na wapinzani wake. Akizungumza na waandishi wa...
View ArticleWanne wajitosa uchaguzi wa Mufti
KAIMU Mufti wa Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata), Shekhe Abubakar Zuberi Ally ni miongoni wa mashehe wanne waliojitokeza kuwania kuchaguliwa kwenye nafasi ya Mufti kwenye uchaguzi utakaofanyika...
View ArticleMajibu ya Roma Mkatoliki baada ya single yake mpya kuzuiliwa kuchezwa kwenye...
. Kazi yangu ni kuhakikisha nakusogezea kila stori inayonifikia na hapa ninayo stori iliyochukua headlines Sept 9,2015 ya msanii wa Hip Hop kutokea 96.0 (Tanga) Roma Mkatoliki ambaye single yake mpya...
View ArticleUchafuzi wa Mazingira China sio kesi ndogo, hii ndio faini kwa waliokamatwa...
Zipo nchi Duniani ambazo huwa hazipendezwi na aina ya hukumu ambazo zinatolewa na China hasa kwa watu waliokamatwa kwa makosa ya jinai kama ya ubadhirifu ama ishu ya kukamatwa na dawa za kulevya,...
View ArticleJK apokea tuzo nyingine ya Uongozi na Utawala bora ya ‘Africa Achievers Award
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Alhamisi, Septemba 10, 2015 amepokea tuzo...
View ArticleFastjet yaongeza ajira kwa vijana Tanzania
Meneja Mkuu wa shirika la ndege la fastjet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati (katikati) katika picha ya pamoja na wahudumu 12 (wenye sare) wa ndege hiyo waliohitimu mafunzo yao na tayari kwa kuanza...
View Article