Quantcast
Channel: AutomobileHeat » css
Browsing all 1303 articles
Browse latest View live

Dr. Bana: CCM Iheshimu Mfumo wa vyama Vingi

Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu Cha Dar es salaam ambaye pia ni mchambuzi wa masuala ya kisiasa na mambo ya kijamii Dk Benson Bana amesema chama tawala nchini CCM lazima kikubali utamaduni na kanuni za...

View Article


Polisi Wafanya Upekuzi Nyumbani Kwa Halima Mdee

Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam jana lilifanya upekuzi mkubwa katika nyumba ya Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema) baada ya kumtilia shaka kuwa na nyaraka muhimu za vikao vya uchaguzi wa Meya...

View Article


Wauguzi sita Temeke wasimamishwa Kazi kwa kuuza gloves

Naibu Waziri wa Afya, Dk Hamis Kigwangalla amewasimamishwa kazi wauguzi sita katika hospitali  ya  Temeke kwa kosa la kuomba rushwa. Wauguzi waliosimamishwa ni Hadija Salum, Beatrice Temba, Agnes...

View Article

Seleiman Jafo Amemvua Madaraka Meneja wa Mamlaka ya Maji Mji Mdogo wa Kisarawe

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Tamisemi), Seleiman Jafo amemvua madaraka Meneja wa Mamlaka ya Maji Mji Mdogo wa Kisarawe mkoani Pwani, Listen Materu kwa kile alichodai ameshindwa kusimamia...

View Article

Polisi ,UKAWA Ngoma Nzito

Jeshi la Polisi limeendelea na kamatakamata ya wapinzani wa vyama vinavyounda Ukawa katika maeneo mbalimbali likieleza sababu tofauti za kijinai zinazohusishwa na masuala ya kisiasa. Mpaka sasa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

How Does the CAT S60 Compare to the Current Smartphone Market?

CAT’s S60 turned heads at MWC 2016 when they unveiled the S60, a waterproof phone with thermal imaging capability, but is it a practical phone for consumers? A Comparable Phone Most of us, have now...

View Article

Magazeti Ya Leo Ijumaa Ya March 4

[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat

View Article

Naibu Waziri wa Afya Dr Kigwangala Azindua Wodi Mpya Ya Wagonjwa Mahututi...

Serikali imesema ina mpango wa kusitisha kupeleka wagonjwa nje ya nchi kupatiwa matibabu na kuhakikisha kila kitengo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kinakuwa na chumba cha wagonjwa...

View Article


Naibu Katibu Mkuu wa CUF Nassor Ahmed Mazrui Ahojiwa na Jeshi la Polisi...

Wakati polisi visiwani Zanzibar wakimhoji Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Nassor Ahmed Mazrui jana, ulinzi uliimarishwa mjini Unguja huku askari wenye silaha na magari ya deraya wakifanya doria mitaani....

View Article


Rais Magufuli Ampongeza Francis Cheka kwa Kutwaa ubingwa wa Mabara wa Uzito...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli amempongeza bondia Francis “SMG” Cheka kwa kutwaa ubingwa wa Mabara wa uzito wa Super-Middle wa chama cha WBF baada ya kumtwanga kwa pointi...

View Article

Mkuu Wa Majeshi Aongoza Kuwaaga Maofisa Majenerali 16 Wa Jwtz Waliostaafu

MKUU wa Majeshi Tanzania, Jenerali Davis Mwamunyange amewaongoza wanajeshi mbalimbali kuwaaga Majenerali 16 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ambao wamemaliza muda wa utumishi wao....

View Article

Jamii Forums Wakimbilia Mahakamani….Wadai Kushinikizwa na Jeshi la Polisi...

Kampuni ya Jamii Media ambayo ni wamiliki na waendeshaji wa mitandao ya Jamii Forums na FikraPevu, wamefungua kesi ya Katiba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kupinga amri waliyopewa na polisi ya...

View Article

Bomu Lalipuka Maskani ya CCM Zanzibar

Kitu kinachosadikika kuwa bomu kimeripuka usiku wa kuamkia jana eneo la Michenzani mjini Unguja, eneo linalojulikana kama maskani maarufu ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mlipuko huo umezua...

View Article


Maalim Seif Arejea Zanzibar Akitokea India Kwenye Matibabu……Mamia ya Wafuasi...

Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad jana aliwasili Zanzibar kutoka ughaibuni na kulilaumu Jeshi la Polisi nchini akisema, “hapana shaka yoyote sasa limegeuka tawi la CCM.” Maalim Seif alisema...

View Article

Muhongo akabidhi gari la wagonjwa la kisasa jimboni kwake

Mbunge wa Musoma Vijijini na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akifungua mlango wa gari la wagonjwa kabla ya kulikabidhi rasmi. Daktari Bingwa wa huduma za dharura na Majanga, Dkt....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Saa zinazoweza kutumiwa kuiba mitihani

Saa hizo zinauzwa katika Amazon an eBay Saa za kisasa ambazo zimetengenezwa mahususi kutumiwa kudanganya wakati wa mtihani zimekuwa zikiwakosesha usingizi walimu na wasimamizi wa mitihani. Saa hizo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ratiba kamili ya michuano ya Uefa Euro 2016 isome hapa

Hadi leo Machi 4.2016, zimebakia siku 98 katika kuingia kwenye kinyang’anyiro cha michuano mikubwa barani Ulaya ya Uefa Euro 2016 ambayo inatarajiwa kufanyika katika majiji mbalimbali ya Nchi ya...

View Article


Msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom baada ya michezo ya leo

[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DRC: Nani alihusika na mauaji ya askari wa kulinda amani wa Tanzania Beni?

Askari wawaili wa kulinda amani kutoka Tanzania wakipiga doria nje ya mji wa Goma, Oktoba 6, 2013. Nani alihusika na mauaji ya askari wa kulinda amani wa Tanzania mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia...

View Article

SSRA Yatetea Uraia Wa Dr Wangwe Ambaye Aliteuliwa Kukaimu NSSF na Kisha...

Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) imetetea uraia wa Dk Carina Wangwe ikisema ni Mtanzania kwa kuandikishwa tangu mwaka 1999. Dk Wangwe aliteuliwa juzi na Waziri wa...

View Article
Browsing all 1303 articles
Browse latest View live