Mkuu wa Upelelezi TANAPA achinjwa Kinyama
POLISI mkoani Arusha imewatia mbaroni watu wawili wanaohusishwa na tukio la kuuawa kinyama kwa kuchinjwa shingo kwa Mkuu wa Idara ya Upelelezi ya Ulinzi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA),...
View ArticleWaziri Mkuu Acharuka…..Asema Wabadhirifu Watang’olewa Mara Moja,Asisitiza...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaonya watendaji wa halmashauri nchini kwamba atakayebainika ametumia vibaya fedha za Serikali atang’olewa kazini kwa sababu Serikali ya Awamu ya Tano haina mchezo na...
View ArticleWaziri Kitwanga AKutana na Waandishi wa Habari Leo na Kuongelea Kuhusu Madawa...
Leo Waziri wa Mambo ya ndani Charles Kitwanga leo amekutana na waandishi wa habari Dar es salaam. Baada ya kufanya ziara katika maeneo mbalimbali ya ofisi za Jeshi la Polisi kikubwa alichozungumza ni...
View ArticleWalichoongea Rais Kikwete Na Maalim Seif Baada ya Kukuta Ikulu Jijini Dar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amekutana naMakamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharrif...
View ArticleAutoCAD Training Book | AutoCAD Training Center | Free AutoCAD Drawings |...
Free download of useful AutoCAD blocks. The AutoCAD tutorials section contains a range of tutorials from beginner to advanced and covering both 2D and 3D. The tutorials are divided into categories;...
View ArticleAutoCAD 2007 Free Exercises Download | AutoCAD 2010 Free Exercises Download |...
AutoCAD 2007 Free Exercises Download, AutoCAD 2010 Free Exercises Download. This site provides great tutorials / lessons for the student of AutoCAD. These lessons are designed to be as compatible with...
View ArticleWhat Is CAD | Computer Aided Design | Draw Technical Drawing And Drafting |...
Computer Aided Design (CAD) is a form of design in which people work with computers to create ideas, models, and prototypes. CAD was originally developed to assist people with technical drawing and...
View ArticleWhat Is AutoCAD | First Computer Aided Design (CAD) Programs | AutoCAD An...
AutoCAD was one of the first Computer Aided Design programs to be made available on personal computers. It is built to help people design buildings, products, or public spaces, without having to draw...
View ArticleAutoCAD Exercises for Beginners | AutoCAD Exercises Download | AutoCAD...
AutoCAD Exercises for Beginners | AutoCAD Exercises Download | AutoCAD Exercise Workbook | exercises online AutoCAD Exercises for Beginners | AutoCAD Exercises Download | AutoCAD Exercise Workbook |...
View ArticleAfisa Wa Jeshi la Polisi Ajinyonga
Afisa wa Polisi Mkoani Arusha aliyetajwa kama PC Halfani, alikutwa akiwa amejinyonga katika eneo la kambi ya makazi ya askari wa jeshi la polisi jijini humo jumapili iliyopita. Askari huyo ambaye...
View ArticleGavana aomba msaada wa rais kupitia Facebook
Afisa huyo Mohammad Jan Rasoulyar alimwandikia rais Ashraf Ghani kumweleza kuwa wanajeshi 90 wameuawa katika mapigano makali na wanamgambo wa Taliban Naibu gavana wa jimbo la Helmand Kusini mwa...
View ArticleNicky Minaj awatumbuiza raia wa Angola
Nicky Minaj awatumbuiza raia wa Angola Mwanamuziki wa kufoka wa kizazi kipya kutoka Marekani Nicki Minaj aliwatumbuiza maelfu ya mashabiki katika mji mkuu wa Angola Luanda licha ya shinikizo kutoka...
View ArticlePaco Jemez-Ni fedheha kupigwa bao 10-2
Bosi wa Timu Rayo Vallecano Paco Jemez amesema Timu yake ilifedheheshwa na kudhalilishwa ilipobamizwa Mabao 10-2 wiki hii kwenye Mechi ya La Liga Uwanjani Santiago Bernabeu. Amesema kipigo hicho...
View ArticleManchester United captain Wayne Rooney attacked King Barrett, Nov 9, 2015
[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleHabari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya Disemba 23
[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleDiamond atoa sababu ya kukacha All White Party ya Zari, adai hamwogopi Ivan
Diamond Platnumz alikuwepo, Kampala, Uganda usiku ambao Zari alikuwa akifanya party yake ya All White lakini hakutokea. Ex wa Zari, Ivan Ssemwanga na wapambe wake walikuwepo. Watu walihisi kuwa...
View ArticleMrithi Wa Dk. Willbrod Slaa Chadema Huyu Hapa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinafanyia kazi uteuzi wa Katibu Mkuu wa chama hicho kufuatia aliyekuwa Katibu Mkuu wake, Dk. Willbrod Slaa kujivua wadhifa huo baada ya kujitoa kwenye...
View ArticleJanuary Makamba Atema Cheche Kuhusu Wavamizi wa Ardhi…..Asema Kuwa na Vibali...
Taarifa ya Hali ya Mazingira Nchini inaonyehsa kwamba mwenendo wa uharibifu wa mazingira nchini ni wa kutisha. Mito mingi nchini inakauka. Vyanzo vingi vya maji vinakufa. Miti na misitu ya asili...
View ArticleMaombi ya Kupandisha Ada Yatinga Wizarani
Shule nyingi za msingi na sekondari zisizo za Serikali, zimetuma maombi kwa Kamishna Mkuu wa Elimu nchini kuomba kibali cha kupandisha ada katika mwaka ujao wa masomo. Hatua hiyo ni kuitikia amri ya...
View ArticleSamwel Sitta Atangaza Kustaafu Siasa …..Asema Atakuwa Mwandishi wa Vitabu na...
Kwa mara ya kwanza tangu Kamati Kuu ya CCM ilipomuengua kwenye kinyang’anyiro cha uspika, Samuel Sita ambaye alikuwa Spika wa Bunge la Tisa, jana ameweka bayana mustakabali wake; ameamua kustaafu...
View Article