Waziri Wa Mambo Ya Ndani Ya Nchi Awatoa Hofu Watanzania Kuhusu Kuwepo Kwa...
Ndugu Waandishi wa Habari, Mabibi na Mabwana, Kama mnavyojua tarehe 25 ya mwezi huu wa Oktoba mwaka 2015 siku ya Jumapili katika nchi yetu kutafanyika Uchaguzi Mkuu kwa ajili ya kuchagua rais, wabunge...
View ArticleKesi Ya Kukaa Mita 200 Ni Kaa La Moto…….Mawakili Watoana Jasho Kwa Vifungu...
Mvutano mkali wa hoja za kisheria ulitikisa kwenye Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam jana wakati Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk. Tulia Ackson alipoiomba mahakama itupilie mbali maombi ya...
View ArticlePicha 11 za Mafuriko Ya Magufuli Jijini Dar Es Salaam-Oktoba 21,2015
Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akiwasalimia baadhi ya wakazi wa mji wa Kigamboni,waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika jana uwanja wa Machava Kigamboni . Baadhi ya wananchi...
View ArticleBaa zaagizwa kufungwa mkesha wa uchaguzi Dar.
Serikali jijini Dar es Salaam imeagiza baa zote zinazouza pombe mpaka asubuhi kusitisha shughuli hiyo mkesha wa siku ya uchaguzi ili kuimarisha usalama Jumapili ijayo. Aidha, imesisitiza kwamba kila...
View ArticleSentensi 10 za mke wa Marehemu kuhusu ajali, picha za Marehemu na kifo cha...
October 22 2015 ni wiki ya tatu zimepita tangu aliyekuwa Kiongozi wa Chama cha Democratic Party (DP) Mchungaji Christopher Mtikila afariki kwa ajali ya gari ndogo eneo la Msolwa , Chalinze Mkoa...
View ArticleBaada ya mashabiki wa Man City kuzomea wimbo wa UEFA, klabu yao kukumbana na...
Klabu ya Manchester City ya Uingereza ambayo usiku wa October 21 ilicheza mechi dhidi ya klabu ya Sevilla katika uwanja wake wa nyumbani wa Etihad . Kabla ya kuanza kwa mchezo huo ambao klabu...
View ArticleWanawake na Watoto Waanza Kuodoka Mkoani Mtwara Wakihofia Kutokea Kwa Vurugu...
Shirika la utangazaji la Ujererumani,DW limeripoti leo mchana kuwa idadi kubwa ya watu wameanza kuondoka mkoani Mtwara wakihofia hali ya usalama wakati wa uchaguzi. Kwa mujibu wa Dw ,watu...
View ArticleNape Nnauye Apata AJALI Mbaya Ya Gari Akitokea Dar Kwenda Lindi
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amepata ajali mbaya jana usiku akiwa njiani kuelekea Lindi akitokea jijini Dar es Salaam. Nape ambaye pia ni mgombea Ubunge wa...
View ArticleLowassa Kuhutubia Taifa LEO Oktoba 23, 2015 Saa tatu usiku
TARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kupitia taarifa hii kwa vyombo vya habari, tunapenda kuutaarifu umma wa Watanzania wote nchini kuwa Mgombea Urais wa CHADEMA anayeungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa...
View ArticleBawacha: Wanawake Mkipiga Kura Kaeni Mita 200 Mzilinde Zisiibiwe
BARAZA la Wanawake la Chama Cha Demokrasia (Chadema) Taifa, Bawacha, limewataka wanawake nchi nzima kupiga kura na kukaa mita 200 ili kulinda kura zao kwani ni haki yao kisheria. Kauli hiyo imetolewa...
View ArticleMgombea Mwenza wa Urais wa CCM Awataka Wananchi Kutomchagua Lowassa Kwa...
MGOMBEA Mwenza wa Urais wa CCM, Samia Hassan Suluhu amewaonya wananchi kutochagua upinzani kwani mgombea wao ni goigoi na anaweza kuunda serikali goigoi. “Nawaombeni wana Iringa msichague watu wa...
View ArticleHatma ya Kesi ya Kukaa Mita 200 Baada Ya Kupiga Kura Kutolewa Leo
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo itatoa uamuzi kuhusu shauri la kikatiba lililofunguliwa na Mbunge wa Viti Maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Amy Kibatala likihoji uhalali...
View ArticleBi Hillary Clinton awalaumu wapinzani
Hillary Clinton Anayedhaniwa kuwa mstari wa mbele katika uteuzi wa Urais katika chama cha Democratic, Hillary Clinton, amewalaumu wapinzani wake wa chama cha Republican kwa kutumia vifo vya...
View ArticlePicha: Magufuli Ahitimisha kampeni za Urais Jangwani Jijini Dar.
[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleHatimaye Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Dodoma Waruhusiwa Kupiga Kura
MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Gallawa amesema wanafunzi wa vyuo vikuu waliojiandikisha Dodoma watapiga kura kwenye maeneo waliyojiandikisha. Alisema hayo jana wakati wa mkutano wake na waandishi wa...
View ArticleKijana Mwingine Afikishwa Mahakamani kwa Kusambaza Ujumbe Wa UONGO Kumhusu...
George Aloyce Kimaryo amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka la kusambaza taarifa zauongo kupitia katika kundi la Adios la mtandao wa WhatsApp kuwa Mwanafunzi wa Chuo...
View ArticleMagufuli ampasha Rais Kikwete naye amwambia "Sema"
[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleZuma aahidi karo ya vyuo haitaongezwa Afrika Kusini
Zuma amesema kuna mambo kadha yaliyoibuliwa ambayo pia yatashughulikiwaRais wa Afrika Kusini Jacob Zuma ameahidi kuwa vyuo vikuu havitaongeza ada ya masomo mwaka ujao baada ya wanafunzi wa vyuo hivyo...
View ArticleRPC aonya makundi yanayotaka kufanya vurugu Arusha
Kamanda Mkuu wa polisi mkoa Arusha, Liberatus Sabas amesema jeshi hilo limebaini uwepo wa vikundi vilivyojipanga kufanya vurugu na kuvionya kuacha mara moja. Akizungumza na waandishi wa habari leo...
View ArticleHali si shwari Tarime, Sita wakatwa mapanga
Watu sita wamejeruhuiwa kwa mapanga sehemu mbalimbali za miili yao Wilayani Tarime mkoani Mara akiwemo mwandishi wa habari wa Sahara Media, Geoge Nteminyanda (49) usiku wa kuamkia leo. Wakizungumza...
View Article