Quantcast
Channel: AutomobileHeat » css
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1303

Bilionea wa 24 Afrika atoa siku tatu kwa viongozi wa klabu ya Simba kuhusu bilioni 20 zake

$
0
0

Baada ya stori nyingi kuingia katika headlines kwa siku za hivi karibuni kuhusu uamuzi wa moja kati ya mabilionea wa  Afrika  kutaka kuinunua klabu ya  Simba,  mengi yameandikwa na mengi yameongewa. kuhusu  Mohamed Dewji   maarufu kama  MO  ambaye amewahi kutajwa na jarida la  Forbes  kuwa ni bilione wa 24  Afrika  kutaka kuinunua  Simba . Ikiwa ni wiki moja imepita toka uongozi wa  Simba  kupitia kwa mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu hiyo  Haji Manara  atangaze kuwa stori za  MO  kutaka kuinunua Simba  zinatajwa tu katika vyombo vya habari lakini bado bilionea huyo hajaandika barua rasmi ya kuomba kuinunua  Simba . December 29 imetoka statement yake kuwa  Mohamed Dewji  ambaye anadai kufanya majadiliano na viongozi hao kwa zaidi ya miezi miwili, amechoka na kutopewa majibu ya kutoeleweka, kwani hadi sasa amekutana na Rais wa  Simba   Evans Aveva  na viongozi wengine ila hakuna majibu. Hivyo uamuzi wake ni kuwa katoa siku tatu kuanzia December 29 hadi 31 2015 viongozi watoe jibu la kukubali au kukataa. Kama utakuwa unakumbuka vizuri  Mohamed Dewji ‘MO’   ambaye anataka kuinunua Simba  kuiendesha kibiashara kwa kuwekeza bilioni 20 za kitanzania, mwezi March 2015, alitajwa na jarida la  Forbes  la Marekani kuwa moja kati ya mabilionea 29 wa Afrika akiwa nafasi ya 24 kwa kuwa na utajiri wa dola bilioni 1.3 ambazo ni sawa na Tsh trilioni 2.34.

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1303

Trending Articles