Quantcast
Channel: AutomobileHeat » css
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1303

Ibada maalum ya kumuombea Rais John Pombe Joseph Magufuli yafanyika jijini London

$
0
0

  Askofu Mkuu wa kanisa la CCBC Dr Sarpong (kushoto) kutoka Ghana na Pastor Bob kutoka Kenya wakiongoza Ibada maalum ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli jijini London usiku wa kuamkia leo.   Naibu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mhe. Msafiri Marwa akitoa neno la Shukurani wakati wa ibada hiyo jijini London    Naibu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mhe. Msafiri Marwa akipongezwa baada ya kutoa neno la Shukurani katika Ibada hiyo jijini London   Naibu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mhe. Msafiri Marwa akitwa na familia yake kwenye Ibada  hiyo jijini London Wanakwaya wa kanisa la CCBC wakiimba kwenye Ibada hiyo jijini London   Naibu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mhe. Msafiri Marwa akipata picha ya pamoja na wanakwaya na viongozi wa kanisa la CCBC baada ya kumalizika kwa Ibada hiyo jijini London   Baadhi ya wadau walioshiriki kwenye ibada maalum ya kumuombea Rais Magufuli London Viongozi wa CCM Tawi la London walikuwepo pia kwenye Ibada hiyo maalum.

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1303

Trending Articles