Quantcast
Channel: AutomobileHeat » css
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1303

Mtanzania Omary Clayton kashinda Tuzo kubwa Marekani…

$
0
0

Good News  ikufikie popote pale ulipo, Leo Dec 5, 2015 historia nyingine imeandikwa katika  Afrika  na  dunia  kwa ujumla baada ya Mtanzania mwenzetu  Omary Clayton  kuibuka na ushindi mnono katika shindano la Tuzo za  California Viewers choice Award  za nchini  Marekani  akiwa kama muigizaji bora wa kiume. Clayton  kapata ushindi huku pia filamu ya  Dogo Masai  aliyokuwa ameshiriki nayo imejipatia Tuzo. Na hapa anaeleza furaha yake kupitia post aliyoiweke kwenye Instagram page yake > > > “Daah!! Mpaka nimetokwa na machozi!! Na sijui niandike nini but kikubwa namshukuru sana mwenyezi mungu mwingi wa rehema!! HATIMAE TUZO IMEKUJA AFRICA!! WANDUGU NITAWASHUKURU NOW NASHINDWA HATA MANENO GANI NIANDIKE KUWASHUKURU  NASUBIRI NITULIE HILI NIWASHUKURU VIZURI ”

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1303

Trending Articles