Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1303

Rais Magufuli amteua Valentino Mlowola Kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr John P. Magufuli, amemteua Valentino Mlowola, kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU  kuziba nafasi iliyoachwa wazi na  Lilian Mashaka aliyeteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu. Kabla ya Uteuzi Mlowola alikuwa ni Kamishna wa Polisi na Mkurugenzi Intelijensia ya Makosa ya Jinai katika Jeshi la Polisi. Pia,kabla ya kuteuliwa kuwa Kamishna wa Polisi na Mkurugenzi Intelejensia ya Makosa ya Jinai katika Jeshi la Polisi alikuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza.

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1303

Trending Articles