Quantcast
Channel: AutomobileHeat » css
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1303

Liverpool yashinda 1-0 dhidi ya AFC Bournemouth

$
0
0

Majogoo wa Jiji Liverpool wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya AFC Bournemouth katika mechi pekee ya ligi kuu ya England iliyomalizika usiku wa kuamkia leo uwanja wa Anfield. Bao pekee la kikosi hicho cha Brendan Rodgers limefungwa dakika ya 26′ na straika wake mpya, Christian Benteke akimalizia pasi nzuri ya Jordan Henderson Unaweza kusema Benteke amefungua akaunti ya magoli Liverpool kwani amefumania nyavu katika mchezo wake wa kwanza.Hata hivyo, Phillipe Coutinho alifunga goli la kuongoza, lakini refa alikataa  kwasababu Mbrazil huyo alikuwa ameotea.

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1303

Trending Articles