Quantcast
Channel: AutomobileHeat » css
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1303

Simba aliyeingia mtaani na kujeruhi Mtu akamatwa Kenya

$
0
0

Asubuhi ya leo  March 18 2016  iliripotiwa taarifa ya  Simba  mmoja aliyetoroka kutoka Hifadhi ya Taifa ya Nairobi nchini Kenya na alionekana mtaani na kumjeruhi mtu mmoja. Huduma ya Wanyamapori ya Kenya imesema  Simba  huyo aliyeripotiwa kuonekana ijumaa asubuhi akiranda karibu na City Cabanas barabara ya Mombasa  amekamatwa na mtu aliyejeruhiwa alipelekwa hospitali.

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1303

Trending Articles