Quantcast
Channel: AutomobileHeat » css
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1303

Picha 4: Basi la abiria lililopata ajali likiwa limebakiza dakika 15 kuingia Dar es salaam

$
0
0

March 13 2016 usiku wa saa moja kumetokea ajali ya basi la Leina Tours lililoanguka maeneo ya Kimara Bucha, Dar es salaam na taarifa rasmi zinasema lilikua likitokea Kahama Shinyanga kuja Dar es salaam ambapo idadi ya waliofariki haijatolewa ila waliojeruhiwa ni zaidi ya 30 na walikimbizwa Mwananyamala Hospitali na Muhimbili.

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1303

Trending Articles