Quantcast
Channel: AutomobileHeat » css
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1303

Mpya za Rais Magufuli kwenye uongozi wa TRA na TAKUKURU

$
0
0

Taarifa ambayo imetolewa na kaimu mkurugenzi mkuu wa mawasiliano, IKULU Gerson Msigwa imesema kwamba  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. John Pombe Magufuli  amewathibitisha watendaji wakuu wa taasisi mbili za serikali. Waliothibitishwa ni  Alphayo Kidata , aliyekuwa Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ambaye  sasa ni anakuwa Kamishna Mkuu wa TRA  na Valentino Mlowola  aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU),  ambaye sasa anakuwa Mkurugenzi Mkuu wa (TAKUKURU) . Watendaji hawa wamethibitishwa kuanzia leo tarehe 13 Machi, 2016

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1303

Trending Articles