Quantcast
Channel: AutomobileHeat » css
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1303

Jeshi la Wananchi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Laandaa Sherehe za Kumuaga Rais Kikwete

$
0
0

  Taarifa kwa Vyombo vya Habari Vyombo vya Ulinzi na Usalama vinaandaa sherehe ya kumuaga Amiri Jeshi Mkuu tarehe 01 Septemba 2015 kwa gwaride rasmi litakalofanyika katika viwanja vya Uhuru, kuanzia saa 2.00 Asubuhi hadi saa 6.30 mchana.   Waandishi wa Habari mnakaribishwa katika uwanja wa Taifa kwa ajili ya Coverage ya tukio hilo la kihistoria.   Imetolewa  na  Kurugenzi  ya  Habari  na  Mahusiano Makao Makuu ya Jeshi, Upanga S.L.P  9203,   Dar es Salaam,  Tanzania.   Kwa Mawasiliano zaidi: 0756 – 342279                                          0783- 309963.

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1303

Trending Articles